Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Bzimana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
554
Reaction score
159
Niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada MPUNGUZE BASI.
 
Ndio ukome kuparami wakat huna uwezo... Ukitaka kuwafaidi wanawake bila gharama kuwa muongo na mwenye sura ya upole a.k.a somjo a.k.a tapeli hapo utawamaliza watakukimbia na watakukimbilia

najipanga, nimejufunza ''bila pesa, no mapenzi''
 
^^
"... Mwanaume pesa Kama ndevu hata beberu anazo..."
Wao ndivyo wasemavyo,
Tafuta pesa Mkuu
^^
 
Wamama acheni kuwadanganya mabinti zenu..hao waume zenu walipowaoa walikuwa matajiri?
 
niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada mpunguze basi.

umekosea padogo sana! Hukuivuruga inavyotakiwa, ulitakiwa kila mechi iache kumbukumbu kwake...!
 
pole sana, ukiona unashindwa kuhonga nenda kanunue maana hawana gharama wale...

Yap tena unajichagulia unaemtaka unajilia vyako kwa bei che. Kuliko kukaa kila siku unamuhonga malaki mtu mmoja tu
 
Back
Top Bottom