Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ukome kuparami wakat huna uwezo... Ukitaka kuwafaidi wanawake bila gharama kuwa muongo na mwenye sura ya upole a.k.a somjo a.k.a tapeli hapo utawamaliza watakukimbia na watakukimbilia
Fanya kile ambacho unakiweza na kipo ndani ya uwezo wako
Kutaka demu mzuri wakati una pesa ya mawazo uache
niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada mpunguze basi.
Ndo maana kuna mtu humu aliwahi sema wanawake wote wanajiuza,
Yale maneno yalikuwa na ukweli fulani ingawa alishambuliwa sana
pole sana, ukiona unashindwa kuhonga nenda kanunue maana hawana gharama wale...
Mawazo ya wadada wa humu ukiyafuatilia unaweza dhani huji kuwa na demu.
Mapenzi biashara hahahahaFanya kile ambacho unakiweza na kipo ndani ya uwezo wako
Kutaka demu mzuri wakati una pesa ya mawazo uache
tafuta wa size yako kijana