Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo mapenzi hata urafiki. Kama unabwia lazima rafiki yako awe ni mbwia na me na ke lazima kuwepo kiunganishi ambacho ni pesa na k. Ndiyo maana mwenzenu niliamua kuepusha jam... maana ngawila ni kikwazo kikubwa kwangu. Nasubiri nifikishe angalau miaka 30, pengine nitakuwa na pesa.Watu wenye visu vyenye makali ndo wanaokula nyama
kama kisu chako butu, bora tu upaki pembeni kuepusha jam....
pole sana, ukiona unashindwa kuhonga nenda kanunue maana hawana gharama wale...
changamoto lazima manake nyie hamkawii mara ooh sikukutongoza mara oh maji mara1! lazima umpatie shida huyo!!
utakavopenda ww, ht ukiamua kuuza kwa sh 20 c yako mwenyeweokey okey kumbe ni biashara halali ngoja nianze na mimi kuifanyia biashara ...... kwa hiyo inakuwa K mia mia au inauzwaje?
najipanga, nimejufunza ''bila pesa, no mapenzi''
Ndio ukome kuparami wakat huna uwezo... Ukitaka kuwafaidi wanawake bila gharama kuwa muongo na mwenye sura ya upole a.k.a somjo a.k.a tapeli hapo utawamaliza watakukimbia na watakukimbilia
kuna mdada mmoja humu jf anaitwa lara 1 ,huyo atakufaa wala sio ghali,zama naye pm uombe kideti
MmmhFanya kile ambacho unakiweza na kipo ndani ya uwezo wako
Kutaka demu mzuri wakati una pesa ya mawazo uache