Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Nimeshindwa na nimenyosha mikoni, mizinga/vibomu vimezidi, nawaachia wanaoweza.!

Niwajibu wangu kuprovide lakini naona sasa imekuwa too much, akili inanituma nikimbie, pale nilipoishia watakuja wengine wenye uwezo wa kutoa zaidi yangu.. Wakina dada MPUNGUZE BASI.

Acha kukwepa majukumu.
 
hahahahahaha kuwa na mwanaume ambaye hata kukisia bei ya samaki anaogopa ni majanga hajiamini lol

teeeeh!!!..teeh!!! Wewe ndo unakuwa mwoga sasa...hebu toa fursa uone! Afu ukichagua sana.....!!
 
Hata ninyi mnachangia wasiwe na nguvu,ukitoka naye hutaki ale ugali unataka ule naye chips, hapo hata akila ndoo nzima nguvu atazitoa wapi?

Wanajidanganya tu na wao wanaongeza urefu wakati nguvu zenyewe za tabu
wakwende zao
 
miss neddy mie sijawa mtoto hivi...
...na wala sikuwa na maana ya huyu kenge!!

hahahaha si ndomana nimemwambia kadandia treni kwa mbele huyo we senior baba lao najua ulimaanisha cost of maintain status lol
 
Last edited by a moderator:
kwani walikwambia uwamege halafu uwabebe, unajuaje labda nao wanatka hivyo kumegana na kuachana
one night stand haiwezi ku qualify kama love.

Unahongaje one night stand pu**y?.hiyo si ni kulipa na kumalizana?
 
Back
Top Bottom