Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.
Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja Dar tunakaa pamoja na likizo yote nakuwa naye Dar.
Mwka 2012 yule dada alibadilika sana.simu mpaka mimi nimpigie.sometimes akipokea anakuwa mkali au anajibu kifupi sana.
Nlivumilia sababu nlijua pia umbali unaweza kuwa unampa changamoto.nliendelea mvumilia mpaka mwezi wa tatu aliponambia kuwa hawez endelea kuwa na mimi. Nipo mbali yeye yupo Dar. Tuachane.
Nliumia sana kwa maneno yale. Nlijaribu mbembeleza abadili uamuzi huo hakutaka nisikia. Nliumia sababu ndo msichana wa kwanza kumtambulisha kwa wadogo zangu,ndugu na marafiki kama mchumba.
Baadaye i let her go. Nlimwachia kila ambacho alikuwa nacho toka kwangu.nliamua nimsahau kabisa.miaka ikaenda . Nilifanikiwa kumsahau kwa maumivu makubwa sana.
Toka week hii ianze anapiga simu akitaka nimsamehe. Anasema nlimtia mkosi. Hapati mume.mpaka leo hii hajapata hata mchumba.
Nmeshangaa sababu ni msichana mzuri sana. Msichana ambaye mwanaume utajisikia raha kumtambulisha kuwa huyu ni mke wangu. But why asipate mchumba au mume?
Anaamini kuna jambo nlimfanyia kwa kutamka. Binafsi sikuwahi Mlaani hata siku moja. Ila ni kweli niliumia na kuteseka kwa miezi mingi. Rafiki zangu wakinisaidia kuniweka sawa.
Anaomba sana aje Dar tukae tuyaongee. Mimi nlisharudi Dar miaka mingi yeye akaenda Kilimanjaro. Sasa anataka aje Dar tuonane.
Nimemwambia sitoweza onana naye sababu nipo tight sana.but anasema nim release ili aendelee na maisha anateseka kwa kuwa yeye tu ndo kabaki hajaolewa.kapoteza many friends. Wanapoolewa yeye anakuwa tena si rafiki yao.
Binafsi sijui namna ya kumsaidia. Natamani aolewe apate maisha yake ne mumewe. But nifanyeje kumsaidia? Sielewi.