Chairman Lee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,353
- 1,492
[emoji3][emoji3]sa si umpe namba yangu maana me natafuta mkee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3]sa si umpe namba yangu maana me natafuta mkee
[emoji3][emoji3] we jamaa hatari sanaMkuu ...MWITE AJE DAR ...THEN MPIGE SHIPA LA KIMKAKAT ATLEAST BAO 15......THEN ACHANA NAE ....MUONGEZEE LAANA ZINGINE
.Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.
Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja Dar tunakaa pamoja na likizo yote nakuwa naye Dar.
Mwka 2012 yule dada alibadilika sana.simu mpaka mimi nimpigie.sometimes akipokea anakuwa mkali au anajibu kifupi sana.
Nlivumilia sababu nlijua pia umbali unaweza kuwa unampa changamoto.nliendelea mvumilia mpaka mwezi wa tatu aliponambia kuwa hawez endelea kuwa na mimi. Nipo mbali yeye yupo Dar. Tuachane.
Nliumia sana kwa maneno yale. Nlijaribu mbembeleza abadili uamuzi huo hakutaka nisikia. Nliumia sababu ndo msichana wa kwanza kumtambulisha kwa wadogo zangu,ndugu na marafiki kama mchumba.
Baadaye i let her go. Nlimwachia kila ambacho alikuwa nacho toka kwangu.nliamua nimsahau kabisa.miaka ikaenda . Nilifanikiwa kumsahau kwa maumivu makubwa sana.
Toka week hii ianze anapiga simu akitaka nimsamehe. Anasema nlimtia mkosi. Hapati mume.mpaka leo hii hajapata hata mchumba.
Nmeshangaa sababu ni msichana mzuri sana. Msichana ambaye mwanaume utajisikia raha kumtambulisha kuwa huyu ni mke wangu. But why asipate mchumba au mume?
Anaamini kuna jambo nlimfanyia kwa kutamka. Binafsi sikuwahi Mlaani hata siku moja. Ila ni kweli niliumia na kuteseka kwa miezi mingi. Rafiki zangu wakinisaidia kuniweka sawa.
Anaomba sana aje Dar tukae tuyaongee. Mimi nlisharudi Dar miaka mingi yeye akaenda Kilimanjaro. Sasa anataka aje Dar tuonane.
Nimemwambia sitoweza onana naye sababu nipo tight sana.but anasema nim release ili aendelee na maisha anateseka kwa kuwa yeye tu ndo kabaki hajaolewa.kapoteza many friends. Wanapoolewa yeye anakuwa tena si rafiki yao.
Binafsi sijui namna ya kumsaidia. Natamani aolewe apate maisha yake ne mumewe. But nifanyeje kumsaidia? Sielewi.
Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.
Nikampangia chumba mimi nlikuwa kikazi Arusha. Ilikuwa haipiti miezi mitatu nakuja Dar tunakaa pamoja na likizo yote nakuwa naye Dar.
Mwka 2012 yule dada alibadilika sana.simu mpaka mimi nimpigie.sometimes akipokea anakuwa mkali au anajibu kifupi sana.
Nlivumilia sababu nlijua pia umbali unaweza kuwa unampa changamoto.nliendelea mvumilia mpaka mwezi wa tatu aliponambia kuwa hawez endelea kuwa na mimi. Nipo mbali yeye yupo Dar. Tuachane.
Nliumia sana kwa maneno yale. Nlijaribu mbembeleza abadili uamuzi huo hakutaka nisikia. Nliumia sababu ndo msichana wa kwanza kumtambulisha kwa wadogo zangu,ndugu na marafiki kama mchumba.
Baadaye i let her go. Nlimwachia kila ambacho alikuwa nacho toka kwangu.nliamua nimsahau kabisa.miaka ikaenda . Nilifanikiwa kumsahau kwa maumivu makubwa sana.
Toka week hii ianze anapiga simu akitaka nimsamehe. Anasema nlimtia mkosi. Hapati mume.mpaka leo hii hajapata hata mchumba.
Nmeshangaa sababu ni msichana mzuri sana. Msichana ambaye mwanaume utajisikia raha kumtambulisha kuwa huyu ni mke wangu. But why asipate mchumba au mume?
Anaamini kuna jambo nlimfanyia kwa kutamka. Binafsi sikuwahi Mlaani hata siku moja. Ila ni kweli niliumia na kuteseka kwa miezi mingi. Rafiki zangu wakinisaidia kuniweka sawa.
Anaomba sana aje Dar tukae tuyaongee. Mimi nlisharudi Dar miaka mingi yeye akaenda Kilimanjaro. Sasa anataka aje Dar tuonane.
Nimemwambia sitoweza onana naye sababu nipo tight sana.but anasema nim release ili aendelee na maisha anateseka kwa kuwa yeye tu ndo kabaki hajaolewa.kapoteza many friends. Wanapoolewa yeye anakuwa tena si rafiki yao.
Binafsi sijui namna ya kumsaidia. Natamani aolewe apate maisha yake ne mumewe. But nifanyeje kumsaidia? Sielewi.
Namba yangu inaweza ikawa sawa na umri wako au nusu ya umri wako. Ni ya zamani sana.Kwaiyo uja badili no. Ata lile rungu la tcra alikuku pitia kweli.kwaiyo mna mawasiliano bado.
Huruma ipo kwa binadamu yeyote. Tunapaswa kuoneana huruma ila hiyo haimaanishi naweza rudiana naye kimapenzi. Huruma utu ndo ubinadamu wenyewe.Msamehe! Maana kitendo cha kumuonea huruma na kuumia, it means bado unampenda! Alipitia stupid age! Kutana nae, ongea nae, mtathmini kutokana na maongezi yake. Then msamehe
Mweleze kuwa umemsanehe, na kweli umsamehe. Kusamehe sio kurudiana ila ni kumwachilia moyoni na usiwe na kinyongo wala hasira naye, tena hata mkionana. Kama huwezi, Mungu anaweza kukusaidia.Mwaka 2010 nlipata msichana ambaye alikuwa akisoma udsm. Huyu dada wazazi wake walikuwa mkoani. Mwaka 2011 akamaliza. Hapa Dar hakuwa karibu sana na ndugu zake.alipomaliza chuo mwaka huo akawa anataka aishi Dar.