Nimeshindwa namna ya kumsaidia. Ingawa naumia sana kwa hali anayonisimulia

.
 

mimi natafuta mke mkuu, kumsaidia kwake naomba niunganishe naye nitamwoa kama katulia kwelii
 
Jiongeze braza.. Anataka mkutane myajenge upya, wewe ni lala salama haukuwa chaguo lake.
 
Msamehe! Maana kitendo cha kumuonea huruma na kuumia, it means bado unampenda! Alipitia stupid age! Kutana nae, ongea nae, mtathmini kutokana na maongezi yake. Then msamehe
 
Hahahaha,

Wanawake hawa kabla hujaumizwa ni malaika, ila ukitoka hapo huna huruma
 
Mpe live bila chenga kuwa kwa uliyomfanyia halafu akakubwaga hana future na wewe. Mwache usithubutu kumsogelea huruma itakuja kukuponza. Songa mbele na yeye aendelee na ratiba zake.
 
Mkuu usije kuthubutu! Na ukimuentertain nakuhakikishia utarudiana nae na pigo atakalokupiga nalo utaleta Uzi mwengine humu.
 
Msamehe! Maana kitendo cha kumuonea huruma na kuumia, it means bado unampenda! Alipitia stupid age! Kutana nae, ongea nae, mtathmini kutokana na maongezi yake. Then msamehe
Huruma ipo kwa binadamu yeyote. Tunapaswa kuoneana huruma ila hiyo haimaanishi naweza rudiana naye kimapenzi. Huruma utu ndo ubinadamu wenyewe.
 
Hili hata haliitaji kuumiza kichwa piga chini huyo [emoji241]
 
Aaache us*** kwan tangu muachane ye asha dinyana na wangapi!? Au kisa anakuona mpole bas ndo anataka akuangushie mzigo na lawam Zote!!? Achana nae huyo asikupotezee muda bwana, usawa umekua mgmu af anakuletea reverse za samaki

Dah! Mekasirika kama vile ndo mim yan, any way ngojatu niishie hapa maana naeza tukana, incidence kama hii ishawah ntokea kwa mtu niliye mpenda saa dah! So sad
 
Huyo no takataka kashagongwa wewe inawezekana hata mimba keahatoa acha naye
 
Ulivyoleta uzi hapa yaonyesha kamoyo kako bado kanapiga kwake kifupi hukutakiwa wala kumuanzishia uzi hapa watu wazima watakuwa wamenielewa.
 
Mweleze kuwa umemsanehe, na kweli umsamehe. Kusamehe sio kurudiana ila ni kumwachilia moyoni na usiwe na kinyongo wala hasira naye, tena hata mkionana. Kama huwezi, Mungu anaweza kukusaidia.
Kusamehe ni faida yako wewe wala si yake tu. Usiposamehe sio tu Mungu hatakusamehe, bali hali hiyo ya uchungu inaweza ikaendelea kukusumbua kwa mahusiano mengine.
Tafuta muda ikiwezekana mweleze msimamo wako. Kuogopa kutoonana sio suluhisho, kwa kuwa siku moja mnaweza kukutana. Dawa ni msamaha unaotoka moyoni, kwa Mungu yote yawezekana.
 
Speak to your heart young man.

Forgive her.

Search your heart huenda kuna grudge umeishikilia mpaka leo na hujaiachia bado.

Kingine huenda anakutana na watu wazuri tu. But ameshajiwekea yardstick ya kipimo Cha mapenzi kwa kumpima kila mtu anaejitokeza kupitia kwako. Kwa maana ya kila anaekuja anamfananisha na wewe na kumtaka awe kama wewe so hadumu na mtu yeyote


Ila kuhusu kurudiana. Msirudiane. It won't work out. Hata mkijaribu kuonjana muone kama spark badi ipo haitanoga.

Forgive her and let her go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…