Nimeshindwa namna ya kumsaidia. Ingawa naumia sana kwa hali anayonisimulia

Halafu hawa viumbe huwa hawapotezi namba za sim hata mkorofishane vp
 
Nimependa hii nitatumia busara hii.
 
Anakuchota akili mkuu, usiwe na huruma sana, we kama unajua hujamfunga wala kumpa laana haina haja ya kujiuliza sana.
 
Mwambie nilikwishakusamehe siku nyingi tu. na kata mawasiliano naye na aende zake maana maumivu aliyokupa ni makubwa sana.
 
Sio wa Machame kweli huyo? To be honest huyo ndio karma sasa
 
Pole sana mkuu na pole kwa binti, nadhani atulie wakat utafikia tu as long as wewe hakuna ulichofanya. Shida yake anafanya relative comparison kuwa mbona rfk ake gani na gani wameolewa yeye hajaolewa. Na hilo ni kosa la watu wengi, kila mtu ana profile........ afocus kwenye lane yale tu na kuishi vema na watu, wakati wake utafika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…