Nimeshituka nimekula supu ya mbwa leo

Wewe si ulisema ulikula nyama ya mamba na simba?
Sasa hiyo ya mbwa imekushindaje we mchawi mchawi?...
Hapana mkuu unajua mamba na mbwa ni vitu viwili tofaut
 
Kiingiacho si haramu! Bali kitokacho
 
Upo njombe nini mkuu?
 
Kibaiolojia, supu ya mbwa na ya mbuzi zina tofauti gani ya maana?
 
Sasa imekushinda nini hiyo supu ya mbwa we kila siku unakuja na mambo za kula nyama za watu mara fisi imekuwaje leo kwa mbwa au sababu ulikuwa na akili timamu sio zile za uchawi
Kule si huwa ni gambosh hata akili huwa ni za kigambo gambosh
 
Na usijishangae ukirudi home ukajikuta unazurura tu nje[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…