Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku mimi nakunywaga mkuu
Upo njombe nini mkuu?Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Leo nilitoka home asubuhi sana kuna sehemu nilikuwa na promise zangu za hapa na pale na watu wa hapa na pale
Sasa kuna muda fulani njaa ikaniuma sana ikanibidi niingie kwenye kimugahawa fulani hivi nipate supu
Lakini wakati nakunywa ile supu yaani ladha yake ikanishinda kidogo nikawa naona tofaut kabisa na supu zingine aisee, kwanza nyama yake ni nyeus nyeus flan hivi alafu haisomek sijui imebanikwa sijui haijabanikwa
Sasa bahati mbaya kumbe ngozi hawakuchuna vizuri nikaona kwenye mnofu kama manyoya ya mbwa aisee nilichoka hapo hapoa na nikashiba hapo hapo na hapo hapo nikalipa na hapo hapo nikasepa zangu na hapo hapo sikuwambia kitu nikajiondokea zangu
Tuwen makini jamani tusije tukalishwa supu za fisi
LONDON BABY
Kule si huwa ni gambosh hata akili huwa ni za kigambo gamboshSasa imekushinda nini hiyo supu ya mbwa we kila siku unakuja na mambo za kula nyama za watu mara fisi imekuwaje leo kwa mbwa au sababu ulikuwa na akili timamu sio zile za uchawi
Basi itakuwa huyo mbwa alikuwa bado mchanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Bado mkuu