Nimeshituka nimekula supu ya mbwa leo

Nimeshituka nimekula supu ya mbwa leo

Kwaio badala ya kuanza kuwatahadharisha watu waliokuwepo mgahawani ukaona bora uje JF na tena usitwambia mgahawa upi?
 
Basi itakuwa huyo mbwa alikuwa bado mchanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Kwahiyo angekuwa kakomaa ningebweka mkuu
 
Kumbe ni rahisi sana kuzijui income za watu hapa JF kwa kufuatilia nyuzi zao!![emoji28][emoji28][emoji28]
 
Aise pole sana, unajuwa ukijuwa wala supu ya mbwa na ni mila yako siyo mbaya, ila kama hujuwi inakuwa taabu sana aise...
 
Back
Top Bottom