Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
.....kikafa na Mobutu wake?..CCM ya Magufuli inafanana na chama cha Mobutu Sese Seko kilichokuwa kikiitwa Popular Movement of the Revolution.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....kikafa na Mobutu wake?..CCM ya Magufuli inafanana na chama cha Mobutu Sese Seko kilichokuwa kikiitwa Popular Movement of the Revolution.
Shukurani sana Wakuu!Moderators kindly correct the typo in the title, ni kibalozi sio kbalazi
.....kikafa na Mobutu wake?
unajua ni watanzania wangapi wamefariki kwa ajili ya kukomboa hizo nchi, unajua familia zao zina hali gani sasa kila mtu apambane na hali yake diplomasia ya uchumi ndiyo inatakiwa kwa sasa ugomvi wa wapalestina na isarael hautusaidii chochote si tuangalie ni maslahi gani tutapata toka kwaoMkuu South Afrika ikoje leo haiwezi ikawa ndio determinant ya sera yetu ya mambo ya nje iweje. Inabidi uwe mature katika kufikiri zaidi ya hapo.
Hatukujihusisha na ukombozi wa nchi za Africa ili nchi tulizozisaidia zije ziwakubali watu wetu nchini mwao au kutowabagaua. Sera yetu ya ukombozi ilijengwa katika misingi ya usawa, uhuru na utu wa mwanadamu bila kujali rangi yake, imani yake nk. Haipaswi kubadilika kwa kuwa leo kuna generation ndani ya South Afrika ambayo iko xenophobic. After all, hilo ni tatizo ndani ya South Africa, kwa kuwa hao walio xenophobic Afrika Kusini wako xenophobic kwa mataifa yote sio tu yale yaliyowasaidia kwenye ukombozi wa nchi zao.
Na kama CCM wamebadilisha sera yetu ya mambo ya nje hasa kwa mambo ya ukombozi kwa sababu South Afrika tuliowasaidia wamekuwa xenophobic basi CCM ni wajinga na wapumbavu. Huo ndio ukweli.
Hayo ni maoni yako au ya Zanzibar kwa ujumla? Kama ni kweli Zanzibar inatawaliwa kimabavu kinyume na sheria za kimataifa dhidi ya nchi moja kutawala nchi nyingine, basi nendeni UN mkawasilishe petition ya kudai uhuru na kama mna haki kisheria UN itapitisha azimio la uhuru wa Zanzibar. Kama kukiwa na hilo azimio na mkaendelea kutawaliwa, chukueni silaha mjikomboe.UN ikipinga petition yenu kaeni kimya, kuendelea kupiga kelele ni uhaini.
Ebu msikilize Lubinga hakuna aliposema hayo! Huyo mleta hoja ameweka tafsili yake na nyinyi ndiyo mnayoijadili. Msikilizeni Kanali mwenyewe maana mahojiano yameambatanishwa. Sasa nyinyi mnatoa maoni yenu kwa wrong information mliyopewa. Sikiliza mahojiano kwanza ndipo ujadili, maana uliyotafuniwa na mleta hoja siyo. Ukweli! Ameumeza ukweli wewe akakulisha makapi aliyopaswa kutema!Jeshi letu kuna tunao lifahamu vizuri sana na mlengo wake wa kisiasa enzi hizo.
Huyo jamaa kama sasa hivi ni Luteni Kanali basi miaka ya Mwalimu alikuwa Lance Corporal au Service man.
Na hawezi kuwa alipewa eneo lolote kufundisha kutokana na cheo chake kidogo. .
Hapo anadanganya.
Kuwa angekuwa na mawazo ya kisiasa kuweza kushirikiana na mkaburu, ilikuwa mwiko, wakati ule na hata wale wa zamani jeshini mpaka leo hawaamini makaburu.
Nawafahamu wanajeshi wetu (sasa wastaafu) waliopigana na wengine kufia misituni wakipigana pamoja na SWAPO, FRELIMO, ANC.
Ni matusi kusema leo mtu anamsimamo wa kuwapendelea makburu ambao walitulaani na kutuita manyani weusi.
Siku hizi hata majuha wanaingia JF...mkuu huu Ni uwezo wa chini kabisa wa kujenga hoja,Ikumbukwe kabla ya ugonjwa wa Corona haujafika Tanzania, Bavicha na chadema kwa ujumla walikuwa wakikesha mitandaoni wakiombea Corona ije ili wamkomoe na kumcheka rais Magufuli!.
Mwana jamii forum anayeitwa technically alileta Uzi humu akiombea na kushangaa kwa nini Corona haifiki haraka Tanzania!, Naam kama ilivyoandikwa aombacho mtu ndiyo hupewa, kama alivyoomba technically Corona imekuja Tanzania na hatua ya kwanza imeshambulia familia ya boss wake Freeman Mbowe!, nadhani sasa technically atakuwa anarukaruka kwa furaha sana huko aliko
Tuwaonye tu vijana wa chadema kuwa Mungu hana mchezo, mahaba yenu kwa Mbowe yasiwatoe ufahamu na kuanza kuiombea mabaya nchi mkidhani mnamkomoa rais Magufuli.
Sasa hivi mnamkejeli Makonda kwa kusema ni tasa mnasahau kuwa HalimaMdee ana miaka 45 na hana mtoto wala kutundikwa mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mwanaccm mmoja alinisaidia sana kuelewa kinachoendelea sasa hivi kuhusiana na CCM. Alinieleza kwamba CCM ya sasa awamu ya tano ni tofauti na ilivyokuwa awamu zilizopita. CCM iliundwa katika mwavuli wa vyama vya Ukombozi. CHAMA CHA MAPINDUZI. CCM ya leo ni CHAMA CHA MAGUFULI. hicho kinachoitwa "mabadiliko ya mtazamo" wala siyo sera ya CCM iliyofanyiwa mabadiliko yaliyo rasmi. Haya ni mawazo na msimamo wa Magufuli mwenyewe, kwa sababu hiki sasa ni chama chake binafsi, mali yake binafsi. Nyerere hata alipoweka mbele maoni yake binafsi, aliyaweka mbele ya vikao rasmi. Kuna mambo ambayo mwalimu aliyapenda, lakini yakakataliwa na vikao. Mfano alipenda Salimu Ahmed Salimu amrithi, lakini likakataliwa na kikao. Na mwalimu alikubaliana na maamuzi.
Magufuli, kwa upande mwingine, amenukuliwa akitamka hatua atakazochukua dhidi ya wanachama wa CCM, ambayo yeye kama Mwenyekiti hana mamlaka ya kuyaamua mwenyewe. Mfano kuwafukuza wanachama waliokuwa na "imani na Lowasa", au kuwafukuza wabunge 17 waliokuwa wanahoji hatua ya serikali ya Magufuli kupora fedha za wakulima wa korosho.
CCM ya sasa imepoteza dira, kama alivyosema Membe. Ni gari bovu linakwenda mbio aliyekalia kiti cha dereva hajui kuendesha.
.....kikafa na Mobutu wake?
Hujui maazimio ya UN juu ya Polisario na Palestina? Kama hujui usi commentkwani hao Palestina na Polisario kuna walichokipata huko UN? mbona munajifanya munawa support?
Hivi una akili wewe? Soma kichwa cha thread vizuri na jifunze kufanya inference. Ndio maana kuna w=viwango tofauti vya shule. Unajua maana ya foreign policy, au unafikiri Tanzania itakuambia foreign policy kwa ajili ya kila nchi?Ebu msikilize Lubinga hakuna aliposema hayo! Huyo mleta hoja ameweka tafsili yake na nyinyi ndiyo mnayoijadili. Msikilizeni Kanali mwenyewe maana mahojiano yameambatanishwa. Sasa nyinyi mnatoa maoni yenu kwa wrong information mliyopewa. Sikiliza mahojiano kwanza ndipo ujadili, maana uliyotafuniwa na mleta hoja siyo. Ukweli! Ameumeza ukweli wewe akakulisha makapi aliyopaswa kutema!
Siku ukipatwa na janga nyumbani kwako na familia yako na majirani wako wakakupuuza bila msaada ndio utaelewa maana ya unachosema. Kwani jirani zako wanapokusaidia wanapata faida gani, haiwasaidii chochote wanapaswa kuangalia maslahi yao. Ukivamiwa na majambazi kuja kutoa msaada wanaweza kufa bure. Sasa skeli ya jirani ndiyo hiyo inakua hadi kuwa skeli ya taifa. Lakini huwezi kuelewa kwa kuwa una roho ya shetani wewe, nikijua wewe jirani yangu nahama hiyo sehemu.unajua ni watanzania wangapi wamefariki kwa ajili ya kukomboa hizo nchi, unajua familia zao zina hali gani sasa kila mtu apambane na hali yake diplomasia ya uchumi ndiyo inatakiwa kwa sasa ugomvi wa wapalestina na isarael hautusaidii chochote si tuangalie ni maslahi gani tutapata toka kwao
Dunia imebadirika afrika kusini wangekuwa wema tuliowatendea wangekuwa wanatuheshimu Sana watu hujifunza kutokana na makosa wale tuliokuwa tunaona ni maadui Sasa hv ndio wanaongoza kutusaidia mfano Korea kusiniSiku ukipatwa na janga nyumbani kwako na familia yako na majirani wako wakakupuuza bila msaada ndio utaelewa maana ya unachosema. Kwani jirani zako wanapokusaidia wanapata faida gani, haiwasaidii chochote wanapaswa kuangalia maslahi yao. Ukivamiwa na majambazi kuja kutoa msaada wanaweza kufa bure. Sasa skeli ya jirani ndiyo hiyo inakua hadi kuwa skeli ya taifa. Lakini huwezi kuelewa kwa kuwa una roho ya shetani wewe, nikijua wewe jirani yangu nahama hiyo sehemu.
Nimeuliza hapo juu, kwamba hivi ilikuwa sera yetu kuzisaidia hizi nchi kujikomboa ili tuje tufaidike nazo? La hasha kabisa. Sisi tuliwasaidia kutokana na kuwa watu wenye utu, sio kwa kutegemea kulipwa fadhira sijui watu wetu wakienda kwao kinyume cha utaratibu wasipigwe. Na kama kuna watu katika nchi hizi wameamua kuwa walevi tu na wapumbavu wa kufanya xenophobia, hicho si kitu cha kutufanya sisi tubadilishe msimamo wetu katika watu wnye utu na kusimamima usawa wa binadamu. Unamwona mpumbavu anakula kinyesi na wewe unaamua kunywa mkojo, akili gani hiyo?Dunia imebadirika afrika kusini wangekuwa wema tuliowatendea wangekuwa wanatuheshimu Sana watu hujifunza kutokana na makosa wale tuliokuwa tunaona ni maadui Sasa hv ndio wanaongoza kutusaidia mfano Korea kusini
Labda nikusaidie maana tutabisha bila kufika mwisho nchi inaendeshwa kwa Sera za chama kinachotawala wakati ule Sera yetu ya Mambo ya nje ililenga ukombozi kusini mwa afrika lakini kwa dad's Sera yetu ya nje ni diplomasia ya uchumiNimeuliza hapo juu, kwamba hivi ilikuwa sera yetu kuzisaidia hizi nchi kujikomboa ili tuje tufaidike nazo? La hasha kabisa. Sisi tuliwasaidia kutokana na kuwa watu wenye utu, sio kwa kutegemea kulipwa fadhira sijui watu wetu wakienda kwao kinyume cha utaratibu wasipigwe. Na kama kuna watu katika nchi hizi wameamua kuwa walevi tu na wapumbavu wa kufanya xenophobia, hicho si kitu cha kutufanya sisi tubadilishe msimamo wetu katika watu wnye utu na kusimamima usawa wa binadamu. Unamwona mpumbavu anakula kinyesi na wewe unaamua kunywa mkojo, akili gani hiyo?
Ewaaa! Ndio maana nikasema, kwa hiyo dad's Sera yetu ya nje ya diplomasia ya uchumi, leo Afrika Kusini na Namibia wasingekuwa huru tungewaalika Makaburu kufungua ubalozi Tanzania huku tukidai tunawasidia Afrika Kusini na Namibia kupigania uhuru.Labda nikusaidie maana tutabisha bila kufika mwisho nchi inaendeshwa kwa Sera za chama kinachotawala wakati ule Sera yetu ya Mambo ya nje ililenga ukombozi kusini mwa afrika lakini kwa dad's Sera yetu ya nje ni diplomasia ya uchumi
Mkuu, ukilinganisha kipindi Kolimba alipotoa hiyo kauli na sasa, basi nadhani hata Kolimba is turning is his grave! Kama alidhani hali ilikuwa mbaya wakati huo, imagine sasa hivi!
Ila kiwango cha shule changu hukifikii na nimesimiliza hayo mahojiano toka mwanzo mpaka mwisho, na kulinganisha na kichwa cha habari- pia na contents zake. Jamaa ana infer mambo ambayo kanali Lubinga hakusema!Hivi una akili wewe? Soma kichwa cha thread vizuri na jifunze kufanya inference. Ndio maana kuna w=viwango tofauti vya shule. Unajua maana ya foreign policy, au unafikiri Tanzania itakuambia foreign policy kwa ajili ya kila nchi?