Nimeshtuka kuona hii Picha

Weka picha yako uliyowahi kusuka.
Huwezi kuipata picha niliyowahi kusuka kwakua mimi siyo msanii wala siyo mmasai.

Ni bahati mbaya kwamba hoja ya kwenye post yangu hujaielewa.

Samahani nimekupotezea muda.
 
Huwezi kuipata picha niliyowahi kusuka kwakua mimi siyo msanii wala siyo mmasai.

Ni bahati mbaya kwamba hoja ya kwenye post yangu hujaielewa.

Samahani nimekupotezea muda.
Aliyekwambia msanii anatakiwa kusuka na kutoga masikio nani au umekariri kutoka kwa hao uliowataja hapo juu?
 
Aliyekwambia msanii anatakiwa kusuka na kutoga masikio nani au umekariri kutoka kwa hao uliowataja hapo juu?
Kwa hapa tulipofika unataka ubishi tu. Aliyekwambia kusuka wanatakiwa wasuke wanawake pekee nani?
 
Hiyo mikono alivyoiweka inathibitisha kabisa ni pnga huyo...
Zoom uione vizuri!
 
young dada
sikio katoga
jicho karembua
nywele kasuka


unataka nini tena?
Anasemaga anamkubali sana q boy kwa kumwekea mtindo mpya na mzuri unaomtofautisha na watu wengine hehehe
 
Swaga si alisha sema bongo bahati mbaya ,bongo banah kwa kushangaa na ulimbukeni umetujaa
 
Sasa unashangaa nini Mimi kushangaa
Kuna huu wimbo unaitwa Hate Me Now wa Nas na Didy ukimaliza kuwajibu watu posts zao nenda ukausikilize.

Lyrics kidogo...

Chorus
You can hate me now (QB)
But I won't stop now (Real Niggas)
'Cause I can't stop now (Bravehearts)
You can hate me now (C'mon)
But I won't stop now
Cause I can't stop now
You can hate me now
You can hate me nooow
Do it now, Do It now,
Do it now

Verse
Don't hate me, hate the money I see, clothes that I buy
Ice that I wear, clothes that I try
Close your eyes, picture me rollin,
Sixes, money foldin....
 
Sasa wewe aliyekwambia nina chuki na huyo kijana nani?

Kuwa basi muelewa rudi usome Kichwa cha uzi usitake kuongea vile unavyojua ili mradi umepewa nafasi ya kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…