Nimeshtuka kuona hii Picha

Sasa wewe aliyekwambia nina chuki na huyo kijana nani?

Kuwa basi muelewa rudi usome Kichwa cha uzi usitake kuongea vile unavyojua ili mradi umepewa nafasi ya kuongea.
hahahaha Humchukii mtu wala humpendi ila unamuanzishia uzi!!!??
 
hahahaha Humchukii mtu wala humpendi ila unamuanzishia uzi!!!??
Kwani kuanzisha Uzi lazima uwe unapenda mhusika au kumchukia! Kwahiyo wewe unatetemea kwa vile unampenda sio?
 
Mzito! Mimi hiyo mikono alivyoiweka tu hapo[emoji848]🤦🏿‍♂️
 
Kwani kuanzisha Uzi lazima uwe unapenda mhusika au kumchukia! Kwahiyo wewe unatetemea kwa vile unampenda sio?
Sielewi maana ya kutetemea.

Ila siku nyingine ukikutana na mmasai wa kiume kasuka njoo tena uanzishe uzi wa kushtuka kumuona mmasai kasuka.

Hahahahahaha
 
Nilimaanisha kumtetea.

Umewahi kusoma asili na tamaduni za makabila hapa nchini?

Nikisema nimesoma African World History: Pre Colonial Period na African World History: From Colonialism and After.

Hivyo najua nadharia za uumbwaji binadamu na walivyosambaa mabara yote.

Inatosha?
 
Mbona unakwepa nimeuliza umesoma tamaduni za makabila mbalimbali ya hapa Nchini? Jibu ndio au hapana.
Nikisema nimesoma African World History: Pre Colonial Period na African World History: From Colonialism and After.

Hivyo najua nadharia za uumbwaji binadamu na walivyosambaa mabara yote.

Inatosha?
 
Meneja wake wa mwisho anasema huyo dogo huwa anapigwa miti kinyama. Ndio business inayodaiwa kumeweka mjini kwa sasa.
 
MJINI NJOO NA AKILI YAKO, TABIA UTAZIKUTA!
 
Mbona unakwepa nimeuliza umesoma tamaduni za makabila mbalimbali ya hapa Nchini? Jibu ndio au hapana.
Ndugu yangu nimekuonyesha nilichosoma nimeuliza kama kinatosha ungenijibu tu kua hakitoshi au kinatosha kisha unaendelea na hoja zingine kama zina mashiko zitaeleweka tu.
 
Mambo ya town hayo, watu wa Chato hamuwezi kujua.
 
Ushatuona wabongo si ndio?? Wewe unaona fahari kuwataja hao?? Je, akianza kuvua nguo hadi za ndani utamsifia kuwa ni usanii?? Huwezi kumtetea kwa kuwataja wengine waliofanya hivyo. Mleta mada amesema; Je, tutaweza kutofautisha kati ya me na ke ikiwa tutaingia undani ka hivi?? We umemuonaje huyu jamaa?? Ghafula umekutana naye na labda ni night club na umeshaweka lights 2 hivi?? Ndio swali sio ni wanani walishawahi kusuka.
 
Mi ni mlinzi wa klabu nakutana nao kila siku.

Kabla ya biashara za mabara Afrika tulivaa nguo?

Hao wazungu waliotuletea nguo mwanzo kabisa hawakuvaa suruali. Suruali ilivaliwa na wahalifu na watu maskini.

Wengine walivaa magauni (Naamini utajisikia poa ukitamka kanzu)

Na unajua viatu walivyovaa enzi hizo?

Vilikua na kisigino kirefu kama cha Angelina Jolie.

Soma history mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…