Nimeshtuka kuona hii Picha

Nimeshtuka kuona hii Picha

Msuko sio wa kike!,hakunaga msuko wa kiume...wanasema eti usanii doh
 
Mnaopumuliwa wala hamsuki nywele, mpo tu mnajifanya vidume mbele ya watu
 
ukiona wewe ni mwanaume alafu ukasifiwa wewe ni mzuri....... usichekelee...... maana kisaikolojia utaanza kujiremba(nieleweni vizuri naposema kujiremba), matokeo yake ndo kama hao, km unashindwa kujicontrol... unaishia kupigwa mshedede, wanaume wanakushindua na miuno.

mwanaume unatakiwa uwe mwanaume.
 
Back
Top Bottom