Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa.
Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo .
Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee.
Yuki wapi aliyesema uzee haubishi hodi! Nianze sasa kupunguza vyakula vya wanga mwilini!!
Nimeshtuka sana