Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

Nimeshtuka sana baada ya kugundua wimbo wa Hunifahamu wa Dully Sykes umetimiza miaka 20, kweli nimezeeka sasa

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Nilikuwa youtube hapa nasikiliza ngoma mbalimbali zilizopendwa.

Ukaingia wimbo wa Hunifahamu ulioimbwa na Dully Sykes, mwishoni Dully anataja mwaka 2005 ambao ametoa wimbo huo .

Nikashtuka leo ni mwaka 2005 takribani miaka 20 imetimia, hakika sasa mimi ni mzee.

Yuki wapi aliyesema uzee haubishi hodi! Nianze sasa kupunguza vyakula vya wanga mwilini!!

Nimeshtuka sana
 
Back
Top Bottom