Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Achana naye huyoSawa mjingamimi lkn ni busara ungenishauri mjingamimi cha kufanya ili niepuke vipimo vya akili pale mirembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye huyoSawa mjingamimi lkn ni busara ungenishauri mjingamimi cha kufanya ili niepuke vipimo vya akili pale mirembe.
Shughuri za kilimo na kiuchumi za kusimuliwa siku zote Huwa za mafanikio tu,utasikia kilimo Cha matikiti kinalipa,maesabu ya vikokotozi na cm,siku zote ni mazuri,Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa. Majority ya wakazi wa kijijini niliofanikiwa kukutana nao wanalima small scale agriculture kwa kutumia jembe la mkono na ni kilimo local sana.
Ajabu ni kwamba watu wanaendesha maisha yao vizuri kabisa. Kuna vijana wa rika langu ambao wakati mimi nafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari, wao hawakubahatika hivo wakalazimika kubaki kijijini kulima.
Leo nimekutana nao wana maisha mazuri kwelikweli. Wote wamejenga nyumba zao. Unaweza kusema kujenga kijijini sio gharama kubwa. Lakini hawa vijana wametumia tofali za block kama mjini, nyumba zao zina dirisha za aluminium na wengine tiles kabisa. Vijana wengine kadhaa wamemiliki gari zao nzuri tu kama Toyota Noah na malori. Bodaboda ndo usiseme zipo nyingi.
Kuna jamaa mmoja tulisomaga naye shule ya msingi alikua kilaza kweli. Karibia kila mtihani alikua wa mwisho. Ni mtu aliyedharaulika mno. Leo nikakutana naye dukani kwake tukawa tunapiga stori. Ana mke na watoto. Amejenga nyumba nzuri. Pia ana Toyota Noah namba D mpya kabisa rangi nyeusi. Akaniambia mafanikio yote hayo ni kilimo na analima kilimo cha kienyeji. Sasa mimi niliyekuwa masomoni nikijiangalia sina hela naona aibu japo inashauriwa usijilinganishe na mtu bali jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo.
Sasa nimekaa nikatafakari kama hawa wakulima wa kienyeji wanapiga hela hivi, vipi akienda mtu alime maeneo yale yale kwa kilimo chenye tija? Alime kwa kufuata taratibu zote za kilimo? Si atatoboa upesi sana?
Wakulima wazoefu mkuje huku kutuambia kama kilimo kinalipa au la. Maana nilichokiona leo kimenitia nguvu sana nikalime.
Tangu lini kijijini kukawa na maisha mazuri? Acha blaa blaa..Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa. Majority ya wakazi wa kijijini niliofanikiwa kukutana nao wanalima small scale agriculture kwa kutumia jembe la mkono na ni kilimo local sana.
Ajabu ni kwamba watu wanaendesha maisha yao vizuri kabisa. Kuna vijana wa rika langu ambao wakati mimi nafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari, wao hawakubahatika hivo wakalazimika kubaki kijijini kulima.
Leo nimekutana nao wana maisha mazuri kwelikweli. Wote wamejenga nyumba zao. Unaweza kusema kujenga kijijini sio gharama kubwa. Lakini hawa vijana wametumia tofali za block kama mjini, nyumba zao zina dirisha za aluminium na wengine tiles kabisa. Vijana wengine kadhaa wamemiliki gari zao nzuri tu kama Toyota Noah na malori. Bodaboda ndo usiseme zipo nyingi.
Kuna jamaa mmoja tulisomaga naye shule ya msingi alikua kilaza kweli. Karibia kila mtihani alikua wa mwisho. Ni mtu aliyedharaulika mno. Leo nikakutana naye dukani kwake tukawa tunapiga stori. Ana mke na watoto. Amejenga nyumba nzuri. Pia ana Toyota Noah namba D mpya kabisa rangi nyeusi. Akaniambia mafanikio yote hayo ni kilimo na analima kilimo cha kienyeji. Sasa mimi niliyekuwa masomoni nikijiangalia sina hela naona aibu japo inashauriwa usijilinganishe na mtu bali jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo.
Sasa nimekaa nikatafakari kama hawa wakulima wa kienyeji wanapiga hela hivi, vipi akienda mtu alime maeneo yale yale kwa kilimo chenye tija? Alime kwa kufuata taratibu zote za kilimo? Si atatoboa upesi sana?
Wakulima wazoefu mkuje huku kutuambia kama kilimo kinalipa au la. Maana nilichokiona leo kimenitia nguvu sana nikalime.
[emoji122][emoji122]Nadhani kanuni za kimungu za mafanikio zinaweza kunisaidia. Asante mkuu
Imewachukua miaka mingapi kuwafikia hapo walipo nadhani hukuwauliza. Wanalima nini na kwa mfumo gani wa umwagiliaji?, kutegemea mvua au kuna chanzo cha maji visima, mito n.k.Kwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa. Majority ya wakazi wa kijijini niliofanikiwa kukutana nao wanalima small scale agriculture kwa kutumia jembe la mkono na ni kilimo local sana.
Ajabu ni kwamba watu wanaendesha maisha yao vizuri kabisa. Kuna vijana wa rika langu ambao wakati mimi nafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari, wao hawakubahatika hivo wakalazimika kubaki kijijini kulima.
Leo nimekutana nao wana maisha mazuri kwelikweli. Wote wamejenga nyumba zao. Unaweza kusema kujenga kijijini sio gharama kubwa. Lakini hawa vijana wametumia tofali za block kama mjini, nyumba zao zina dirisha za aluminium na wengine tiles kabisa. Vijana wengine kadhaa wamemiliki gari zao nzuri tu kama Toyota Noah na malori. Bodaboda ndo usiseme zipo nyingi.
Kuna jamaa mmoja tulisomaga naye shule ya msingi alikua kilaza kweli. Karibia kila mtihani alikua wa mwisho. Ni mtu aliyedharaulika mno. Leo nikakutana naye dukani kwake tukawa tunapiga stori. Ana mke na watoto. Amejenga nyumba nzuri. Pia ana Toyota Noah namba D mpya kabisa rangi nyeusi. Akaniambia mafanikio yote hayo ni kilimo na analima kilimo cha kienyeji. Sasa mimi niliyekuwa masomoni nikijiangalia sina hela naona aibu japo inashauriwa usijilinganishe na mtu bali jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo.
Sasa nimekaa nikatafakari kama hawa wakulima wa kienyeji wanapiga hela hivi, vipi akienda mtu alime maeneo yale yale kwa kilimo chenye tija? Alime kwa kufuata taratibu zote za kilimo? Si atatoboa upesi sana?
Wakulima wazoefu mkuje huku kutuambia kama kilimo kinalipa au la. Maana nilichokiona leo kimenitia nguvu sana nikalime.
Kalime mkuu huta jura lakini sio Mahindi ya ugali hayo faida kiduuuchuKwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa. Majority ya wakazi wa kijijini niliofanikiwa kukutana nao wanalima small scale agriculture kwa kutumia jembe la mkono na ni kilimo local sana.
Ajabu ni kwamba watu wanaendesha maisha yao vizuri kabisa. Kuna vijana wa rika langu ambao wakati mimi nafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari, wao hawakubahatika hivo wakalazimika kubaki kijijini kulima.
Leo nimekutana nao wana maisha mazuri kwelikweli. Wote wamejenga nyumba zao. Unaweza kusema kujenga kijijini sio gharama kubwa. Lakini hawa vijana wametumia tofali za block kama mjini, nyumba zao zina dirisha za aluminium na wengine tiles kabisa. Vijana wengine kadhaa wamemiliki gari zao nzuri tu kama Toyota Noah na malori. Bodaboda ndo usiseme zipo nyingi.
Kuna jamaa mmoja tulisomaga naye shule ya msingi alikua kilaza kweli. Karibia kila mtihani alikua wa mwisho. Ni mtu aliyedharaulika mno. Leo nikakutana naye dukani kwake tukawa tunapiga stori. Ana mke na watoto. Amejenga nyumba nzuri. Pia ana Toyota Noah namba D mpya kabisa rangi nyeusi. Akaniambia mafanikio yote hayo ni kilimo na analima kilimo cha kienyeji. Sasa mimi niliyekuwa masomoni nikijiangalia sina hela naona aibu japo inashauriwa usijilinganishe na mtu bali jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo.
Sasa nimekaa nikatafakari kama hawa wakulima wa kienyeji wanapiga hela hivi, vipi akienda mtu alime maeneo yale yale kwa kilimo chenye tija? Alime kwa kufuata taratibu zote za kilimo? Si atatoboa upesi sana?
Wakulima wazoefu mkuje huku kutuambia kama kilimo kinalipa au la. Maana nilichokiona leo kimenitia nguvu sana nikalime.
Kama ni mahindi napo kulima ni mahindi gobwa gobwa maarufu ya kuchoma. Uzuri yanasoko na hayatumii gharama kubwa sana katika kuhudumia kama mazao mengine ya nyanya, tikiti, hoho n.kKalime mkuu huta jura lakini sio Mahindi ya ugali hayo faida kiduuuchu
Ulichokiona ni kweli na hakika... Usisite jitoseKwa wiki nzima sasa nimezunguka vijiji kadhaa nikifanya ziara ya kitafiti kuhusu kilimo. In fact tusiite ziara niseme tu nachunguzachunguza mustakabali wa kilimo kupitia kivuli cha kuwatembelea ndugu zangu wajomba na mashangazi vijijini huko ndani ndani.
Asikuambie mtu kilimo kinalipa. Majority ya wakazi wa kijijini niliofanikiwa kukutana nao wanalima small scale agriculture kwa kutumia jembe la mkono na ni kilimo local sana.
Ajabu ni kwamba watu wanaendesha maisha yao vizuri kabisa. Kuna vijana wa rika langu ambao wakati mimi nafaulu vizuri na kuendelea na elimu ya sekondari, wao hawakubahatika hivo wakalazimika kubaki kijijini kulima.
Leo nimekutana nao wana maisha mazuri kwelikweli. Wote wamejenga nyumba zao. Unaweza kusema kujenga kijijini sio gharama kubwa. Lakini hawa vijana wametumia tofali za block kama mjini, nyumba zao zina dirisha za aluminium na wengine tiles kabisa. Vijana wengine kadhaa wamemiliki gari zao nzuri tu kama Toyota Noah na malori. Bodaboda ndo usiseme zipo nyingi.
Kuna jamaa mmoja tulisomaga naye shule ya msingi alikua kilaza kweli. Karibia kila mtihani alikua wa mwisho. Ni mtu aliyedharaulika mno. Leo nikakutana naye dukani kwake tukawa tunapiga stori. Ana mke na watoto. Amejenga nyumba nzuri. Pia ana Toyota Noah namba D mpya kabisa rangi nyeusi. Akaniambia mafanikio yote hayo ni kilimo na analima kilimo cha kienyeji. Sasa mimi niliyekuwa masomoni nikijiangalia sina hela naona aibu japo inashauriwa usijilinganishe na mtu bali jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo.
Sasa nimekaa nikatafakari kama hawa wakulima wa kienyeji wanapiga hela hivi, vipi akienda mtu alime maeneo yale yale kwa kilimo chenye tija? Alime kwa kufuata taratibu zote za kilimo? Si atatoboa upesi sana?
Wakulima wazoefu mkuje huku kutuambia kama kilimo kinalipa au la. Maana nilichokiona leo kimenitia nguvu sana nikalime.
Sahizi mfumo wa Nguzo za Zege so hayo mamiti isiponunua serikali yatakudodeeni tu!Mti mmoja 20000/= unaoisubiri kwa miaka 5?
Kilimo kinalipa ila jipange
Wapi huko??kama si wavivu?Huko kwenu kuna neema, hicho sio kijiji tena kushakuwa mji kama noah, bodaboda, majumba makali yamejazana hivyo. Huku kwetu jembe la mkono halilipi kuna kipindi hali inakuwa mbaya zaidi ukiwa na elfu kumi wewe tajiri. Kilimo kisikie hvhv.
Mkoa gani huo niwashitue wana tuzamie huko.
Hizi biashara za Tani kadhaa za ufuta sijui tani 10 za zao gani huwa miyeyusho! Hizo Tani utazitoa wapi katika hali ya kawaida?Wakuu kuna fursa hapa,zinahitajika tani 100 za ufuta mweupe na kwa bei nzuri utanunuliwa.DM iko wazi kwa wahusika.
ANGALIZO:UWE SERIOUS NA BIASHARA.
Hapana dunia haijawahi kuishiwa matumizi ya mitiSahizi mfumo wa Nguzo za Zege so hayo mamiti isiponunua serikali yatakudodeeni tu!
Hii ni nzuri.Je unahitaji kulima mahindi na hauna muda wa kusimamia? Au unataka upate mavuno mengi zaidi? Njoo ofisini kwetu.
Ofisi ya YAD yenye wataalamu wabobezi wa kilimo sasa inakuletea mpango wa kusimamia shughuli zote za shambani. Mkulima utatukabidhi shughuli zako pale shambani kwako sisi tutafanya kila kitu kwa utaalamu zaidi na kukukabidhi mazao yako yakiwa yamekomaa. Gharama zetu ni nafuu sana na tunakuhakikishia kwa ekari moja kuvuna mahindi zaidi ya gunia 30. Usihangaike sasa, sisi tupo kwa ajili yako, Kwa Wale ambao hawana mashamba tutakuwezesha kupata mashamba ya kukodi kwa elfu 40 tu na mashamba ya kununua kwa elfu 60 tu hata ukihitaji ekari 100 za kununua utazipata kwa bei hiyo hiyo.
Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu.
Jengo la NSSF SONGEA
Ghorofa ya 3 chumba no. 317
Simu. 0621133117
Mkuu, ukishafika vijijini?Tangu lini kijijini kukawa na maisha mazuri? Acha blaa blaa..
Watakuwa wamejenga shelter sio nyumba
Siamini hili jambo kwanini msilime tuHii ni nzuri.