Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Na ndo mana kasepa kwani alijua atakuja mtu wa aina yako na kumfanyia unyama huo.Huyo boda ilitakiwa atiwe dole la mguu kwenye tupu yake ya nyuma.
Shenzi type..))
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndo mana kasepa kwani alijua atakuja mtu wa aina yako na kumfanyia unyama huo.Huyo boda ilitakiwa atiwe dole la mguu kwenye tupu yake ya nyuma.
Shenzi type..))
Kweli na hawatakaa wajifunze- hata kama ukitumia rungu/fimbo/bakora. Wameshakuwa ni wapumbavu halisi sio wajinga tena.boda boda hawajifunzi
ova
Kweli kabisa,walichelewa tokea mwanzo walipowaruhusu hawa bodabodaKweli na hawatakaa wajifunze- hata kama ukitumia rungu/fimbo/bakora. Wameshakuwa ni wapumbavu halisi sio wajinga tena.
Hakuna mapepo wowoteasikudanganye mtu! Boda wanaanza vizuri mwanzoni lakini baadaye mdogo-mdogo; lugha/mazungumzo yao, aina ya abiria wanaowabeba (esp.Ke), siri nzito wanazogundua kadri wanaendelea kutoa huduma na vile visenti vya chap-chap ukijumlisha na unywaji wa pombe esp. kijogoo na konyagi vilivyochanganywa kwenye energy drink wanajikuta wameharibika jumla.Labda mapepo
demon in human formBodaboda mjinga sana maana baada ya kuona amesababisha ajali alisepa fasta
Si utakuwa umekiuka maadili ya udereva kama ulivyojifunza/fundishwa esp kuhusu aina ya madereva utakaoweza kukutana nao? Lakini pia utakuwa umejiingiza kwenye kesi isiyo na lazima na siku yako itakuwa imeharibika au kuingia dosari.Siwezi kuhatarisha maisha kisa boda boda hata siku moja akiingia njiani hana bahati
I'm curious hapa hebu elezea kidogo.ugha/mazungumzo yao, aina ya abiria wanaowabeba (esp.Ke)
Pdidy si uliokoka wewe, bado unalewa?m usiku nikiwa nanvyangu na ngao woiii nawapelekea moto mazima
Yeah. Kama una abiria wengi; hapo ni busara imetumika na wala sio ukatili.Sometimes hawa bodaboda ni kufa nao, huwezi kumkwepa mtu mmoja ukaenda kuua raia wengine wengi wasio na hatia
😂how promotion? hapo atakuwa anapromote nini sasa, bodaboda? Mwanza au side mirror😂😂Bandiko la muhimu umeweka kama promotion
Hao jamaa wanapokuwepo kijiweni kusubiria abiria, lugha zao ni za kimatusi-matusi, wanaweza kumjadili mdada anayepita au aliyebebwa na boda mwenzao na hujadili maumbile yake esp.makalio yake. Kuhusu aina ya abiria, hao Ke huwa (cjui kama huwa wanajielewa au ni makusudi) wanaongea kwenye simu faragha zao na kucheka hovyo huku amepanda boda. Ke, hususan hivi vibinti vya 2010+ wanaweza kumwuliza boda ambaye naye ni kijana aina na rika yao mambo yanayoweza kumpagawisha boda. Yote hayo ukichanganya na kaulevi, akili za boda zinahama.I'm curious hapa hebu elezea kidogo.
M naona wahusika na Sheria za usalama barabarani, wamechoka nao (they are fed-up with them) sasa wamewaachia madereva wenzao ili iwe sasa ni zamu yao kuwatazama.Moja kati ya vitu vinavyoniuzi bongo ni hawa boda wanavyovunja sheria za usalama barabarani, Halafu wahusika wanawatazama tuu.
Boda anaingiaje barabarani bila side mirrors.
Sana lo
Kwa upumbavu wanaofanya boda boda barabarani kama sina chaguo siwezi kujiuliza mara mbili nitampokea kama alivyo kujaSi utakuwa umekiuka maadili ya udereva kama ulivyojifunza/fundishwa esp kuhusu aina ya madereva utakaoweza kukutana nao? Lakini pia utakuwa umejiingiza kwenye kesi isiyo na lazima na siku yako itakuwa imeharibika au kuingia dosari.
Aisee vijana waepuke hii kazi, mazingira yake very corruptHao jamaa wanapokuwepo kijiweni kusubiria abiria, lugha zao ni za kimatusi-matusi, wanaweza kumjadili mdada anayepita au aliyebebwa na boda mwenzao na hujadili maumbile yake esp.makalio yake. Kuhusu aina ya abiria, hao Ke huwa (cjui kama huwa wanajielewa au ni makusudi) wanaongea kwenye simu faragha zao na kucheka hovyo huku amepanda boda. Ke, hususan hivi vibinti vya 2010+ wanaweza kumwuliza boda ambaye naye ni kijana aina na rika yao mambo yanayoweza kumpagawisha boda. Yote hayo ukichanganya na kaulevi, akili za boda zinahama.
Sio unyama ni haki yake ya kikatiba.Na ndo mana kasepa kwani alijua atakuja mtu wa aina yako na kumfanyia unyama huo.
Nadhani la msingi hapo ni vijana wazingatie nidhamu ya kazi i.e. watambue kwamba hiyo ni Ofisi iliyowaajiri hivyo Waiheshimu hiyo huduma wanayotoa.Aisee vijana waepuke hii kazi, mazingira yake very corrupt