Nimeshuhudia ajali asubuhi hii, Julai 11, 2024 barabara ya Airport Mwanza jirani na Rock City mall

Kweli na hawatakaa wajifunze- hata kama ukitumia rungu/fimbo/bakora. Wameshakuwa ni wapumbavu halisi sio wajinga tena.
Kweli kabisa,walichelewa tokea mwanzo walipowaruhusu hawa bodaboda

Ova
 
Siwezi kuhatarisha maisha kisa boda boda hata siku moja akiingia njiani hana bahati
 
Labda mapepo
Hakuna mapepo wowoteasikudanganye mtu! Boda wanaanza vizuri mwanzoni lakini baadaye mdogo-mdogo; lugha/mazungumzo yao, aina ya abiria wanaowabeba (esp.Ke), siri nzito wanazogundua kadri wanaendelea kutoa huduma na vile visenti vya chap-chap ukijumlisha na unywaji wa pombe esp. kijogoo na konyagi vilivyochanganywa kwenye energy drink wanajikuta wameharibika jumla.
 
Siwezi kuhatarisha maisha kisa boda boda hata siku moja akiingia njiani hana bahati
Si utakuwa umekiuka maadili ya udereva kama ulivyojifunza/fundishwa esp kuhusu aina ya madereva utakaoweza kukutana nao? Lakini pia utakuwa umejiingiza kwenye kesi isiyo na lazima na siku yako itakuwa imeharibika au kuingia dosari.
 
Sometimes hawa bodaboda ni kufa nao, huwezi kumkwepa mtu mmoja ukaenda kuua raia wengine wengi wasio na hatia
Yeah. Kama una abiria wengi; hapo ni busara imetumika na wala sio ukatili.
 
  • Thanks
Reactions: Cpp
Boda yupo mwenyewe, hana abiria, kazingua, Shenzi type, kanyaga twende tu
 
I'm curious hapa hebu elezea kidogo.
Hao jamaa wanapokuwepo kijiweni kusubiria abiria, lugha zao ni za kimatusi-matusi, wanaweza kumjadili mdada anayepita au aliyebebwa na boda mwenzao na hujadili maumbile yake esp.makalio yake. Kuhusu aina ya abiria, hao Ke huwa (cjui kama huwa wanajielewa au ni makusudi) wanaongea kwenye simu faragha zao na kucheka hovyo huku amepanda boda. Ke, hususan hivi vibinti vya 2010+ wanaweza kumwuliza boda ambaye naye ni kijana aina na rika yao mambo yanayoweza kumpagawisha boda. Yote hayo ukichanganya na kaulevi, akili za boda zinahama.
 
Moja kati ya vitu vinavyoniuzi bongo ni hawa boda wanavyovunja sheria za usalama barabarani, Halafu wahusika wanawatazama tuu.
Boda anaingiaje barabarani bila side mirrors.
 
M naona wahusika na Sheria za usalama barabarani, wamechoka nao (they are fed-up with them) sasa wamewaachia madereva wenzao ili iwe sasa ni zamu yao kuwatazama.
Madereva wenzao wanawabutua kweli-kweli lakini Dah! hawawamalizi -wakifa hawa, ghafla wanaibuka wengine tena kama wimbi.
 
Si utakuwa umekiuka maadili ya udereva kama ulivyojifunza/fundishwa esp kuhusu aina ya madereva utakaoweza kukutana nao? Lakini pia utakuwa umejiingiza kwenye kesi isiyo na lazima na siku yako itakuwa imeharibika au kuingia dosari.
Kwa upumbavu wanaofanya boda boda barabarani kama sina chaguo siwezi kujiuliza mara mbili nitampokea kama alivyo kuja
 
Hao jamaa wanapokuwepo kijiweni kusubiria abiria, lugha zao ni za kimatusi-matusi, wanaweza kumjadili mdada anayepita au aliyebebwa na boda mwenzao na hujadili maumbile yake esp.makalio yake. Kuhusu aina ya abiria, hao Ke huwa (cjui kama huwa wanajielewa au ni makusudi) wanaongea kwenye simu faragha zao na kucheka hovyo huku amepanda boda. Ke, hususan hivi vibinti vya 2010+ wanaweza kumwuliza boda ambaye naye ni kijana aina na rika yao mambo yanayoweza kumpagawisha boda. Yote hayo ukichanganya na kaulevi, akili za boda zinahama.
Aisee vijana waepuke hii kazi, mazingira yake very corrupt
 
Nadhani la msingi hapo ni vijana wazingatie nidhamu ya kazi i.e. watambue kwamba hiyo ni Ofisi iliyowaajiri hivyo Waiheshimu hiyo huduma wanayotoa.
 
Back
Top Bottom