Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Naendelea kufanya utafiti maccm mengi hayana kazi nyingine zaidi ya ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui historia ya Mengi. Uliza kwanza! Mengi ndio watanzania wa kwanza kupata CPA (or kitu kama hicho kwenye mambo ya biashara from UK). Katika Africanisation, Nyerere alipenda kuona waafrika wanakuwa kama wahindi kushiriki secotr binafsi katika kukuza uchumi wa nchi. So akaamrisha BOT iwape mitaji mikubwa. Wakapewa and thanks God Mengi managed to make headway in his bussiness!Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.
Acha kukariri kuna malaya wauza nyapu wachaga.Wachaga akili kubwa.
mwenyezi mungu akipenda mtoto wangu wa kwanza nitazaa na mwanamke wa kichaga
kila mtu ana malengo yake,wengine malengo yao yanatimia kwa mshahara wa laki 3,so akipata ajira ya salary 500k ni neema.viceversa wengine malengo yanahitaji 800k per month,huyu ataona hawez kutimiza akiwa kwenye ajira ya salary 500k atatafuta nje.Ni baadhi yao,,, sio wote
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.
Kuna makabila kama yanajielewa kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika upo sasa kwenda kwenye hatari za hasara kuna maana gani ??
Nimeshaona mchaga kaacha ajira akaenda kufuga kuku zake.
Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.
Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants
Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.
Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.
Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika
mchaga Ana akili ya kuzaliwa ya kutafuta.nimeishi nao na Nina ishi nao.Acha kukariri kuna malaya wauza nyapu wachaga.
#MaendeleoHayanaChama
Hakuna biashara isiyo na risk, na wafanya biashara wote waliofanikiwa walichukua risk. Kwa hiyo ukifanya risk, kuna uwezekano wa mara nyingi wa 50:50 kufanikiwa au kutofanikiwa.Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa kwenda kwenye bishara ambako kuna hatari za hasara kuna maana gani ??
Tufundishe hcho kitu special kwa faida ya wengiUkitaka kuwa tajiri lazima uwe risk taker sio muoga muoga.
Utajiri sio kama kuzaliwa na matako una guarantee ya kufa na matako yako.
Lazima ufanye kitu fulani special.
Usisahau mwigulu ni waziri,hajaacha uwaziri sasa hv anamiriki mabasi ya bilioni kadhaa,usimsahau shabiby Mbunge wa gairo,ni Mbunge,na ni mfanyabishara mkubwa tu,wa hotel,mafuta,mabasi,
Kupanga ni kuchagua,hakuna Cha ajabu Wala upekee
Just to take risk nothing less or nothing more))Tufundishe hcho kitu special kwa faida ya wengi
Passion ,Kazi zina fitina na majungu Sana Bora biashara ina nafuu..Ni baadhi yao,,, sio wote
Wengi wetu tulitamani hata hizo ajira tuzipate tuwe na mishahara ya uhakika kila mwezi maana huku mitaani hakueleweki.
Kuna makabila yenye wasomi kama wahaya, wasukuma, wangoni, wanyakyusa, hawa wakilamba kazi shughuli imeisha, mshahara wa uhakika kwao upo sasa kwenda kwenye bishara ambako kuna hatari za hasara kuna maana gani ??
Tofauti na hayo makabila, kuna wachaga ambao wengi wameelimika na kuna hawa wakinga ambao kiwango cha walioelimika ni kawaida lakini unakuta hao walioelimika na kufanikiwa kupata ajira badala ya kutegemea mishahara kama wengine wao wanaacha kabisa ajira na kujiingiza miguu yote kwenye biashara ambazo zina hatari (risk) ya hasara..
Nimeona mkinga ni branch manager wa bank flani ana gari nzuri tu na ni kijana kaacha ajira kafungua duka lake.
Nimeona mchaga huyo alikuwa TRA, narudia jamani TRA, mshahara safi tu lakini akaacha kazi kwenda kwenye biashara ya restarants
Nimeona mkinga ni daktari, mshahara milioni na kitu kaacha kazi kaenda huko maporini anafuga mifugo ya nyama na maziwa.
Nimeona mchaga marehemu Mengi akiwa mhasibu wa kwanza kutambulika hapa nchini akiacha ajira nono.
Nimeona mkinga huyu kijana vunja bei kaelimika lakini aliacha ajira yake yenye mshahara wa uhakika, majuzi happ naskia alipata hasara kwenye ule mkataba wa bilioni 2 wa jezi za simba
Na akichukua akili ya upande wako?Wachaga akili kubwa.
mwenyezi mungu akipenda mtoto wangu wa kwanza nitazaa na mwanamke wa kichaga
porojo.....hizo story ndio kichaka cha wakinga wengi....huzitumia ili kuwahadaa baadhi ya watu wanaohoji chanzo cha biashara zao.Waige uione.
Mkinga tangu akiwa ana miaka 16 anakuwa ameshapanda miti yake ya mbao ya kutosha.
Anapokuja kuvuna tayali kijana mkubwa ndio hao matajiri wa kariokoo.
Biashara ya kuuza rasta za kina mama.Restarant ndio biashara gani?
🤣🤣🤣🤣Imebidi nicheke kwanzaDuuh...sijui niache kazi..?...ila hela ya mwezi tamu..ngoja kidogo