Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Njoo upige tena ramli
Barcelona Hawa ni mpk fainali

Ova
 
R.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
Nyieee daaah
 

Miaka mitatu baadae comment yako bado inaishi
 
Vile ni Kama tulivyoshuhudia Zama za Man utd England,zikiwa zimeenda halijojo,na MaJoGoo wa jiji wakiwa mabingwa wa Epl.
 

Messi amecheza kila namba leo dhidi ya Juve lakini aaah wapi
 
[emoji408][SofaScore] | #BarçaJuve | Messi vs Juventus tonight

90 minutes played
125 Touches
77 Successful passes
90% Passing Accuracy
3 Key Passes
7 Shots on target
7 Duels won
4 Successful dribbles
4 Long balls completed

[emoji841] Ronaldo vs Barcelona tonight

89 minutes played
48 Touches
34 Successful passes
85% Passing Accuracy
1 Key Passes
3 Shots on target
1 Duels won
0 Successful dribbles
1 Long balls completed

You hate Lionel Messi because you don't understand football [emoji3531]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…