Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ulikuwa sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa sahihi
Kizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?
Njoo upige tena ramli
Barcelona Hawa ni mpk fainali
Ova
Vile ni Kama tulivyoshuhudia Zama za Man utd England,zikiwa zimeenda halijojo,na MaJoGoo wa jiji wakiwa mabingwa wa Epl.Kila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.
Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.
Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.
Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
hili bandiko lako linaishi mpaka leo, kweli tunajionea kwa macho yetu sasaRIP Barcelona
Khee kheeeNjoo upige tena ramli
Barcelona Hawa ni mpk fainali
Ova
Kizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?
Messi amecheza kila namba leo dhidi ya Juve lakini aaah wapi
Kuna watu wana maonohili bandiko lako linaishi mpaka leo, kweli tunajionea kwa macho yetu sasa
heshima kwake aiseeKuna watu wana maono