inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
barca imekwisha..kiongozi wao kajikosha ati wanamsajili coutinho na dembele..Barca haina mwisho...
Inaweza kupumzika kidogo tu baada ya Muda mrefu wa viwango ambavyo havina wa kufananishia duniani....
Ni kweli Barca haina mwisho. .. kilichokwisha ni yale makali (lethal) , hakuna kitu kigumu kama Team kujipanga upya , km mnaikumbuka Man u ya Ferguson , mpaka leo bado formula zinagoma.Barca haina mwisho...
Inaweza kupumzika kidogo tu baada ya Muda mrefu wa viwango ambavyo havina wa kufananishia duniani....
I hope hili tatzo litafanyiwa kazi na barca tuta bounce back kwenye ubora wetu kipigo cha Madrid sio kikubwa kama walichotupiga Bayern 2013 lakn hatukufika mwisho na hatutafika mwisho mileleKila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.
Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.
Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.
Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
Ynadamas...Hala Madrid [emoji23][emoji23]
R.I.P Barca kiboko ya timu zote ulaya..
umenikumbusha XAVI na INIESTA wakiwa kwenye ubora wao.. hadi nikafikiri haya majamaa ni maroboti sio watu.. ilikuwa noma kipindi kwakweli
Sio kwa Barcelona hata ikibadirisha vipi mwendo wake ni balaa ukitaka details waulize ligi ya uingereza hasa man u.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bacca bado ni timu bora lakini ukweli ni kwamba kwa Madrid mbele ya kocha wap Zezou wattanyanyaswa sana ata km wangekua na Neymar Zezou mjanja sana wa kusoma wapinzani namuona km anaenda kuweka rekod ya kipekee kwa makocha kwa kuibeba UEFA x3 mfululizo sioni kwa sasa km kuna timu yakuindoa Madrid asifike final na akifika final sioni timu kwa sasa ya kumfanya asibebe ndoo,%90 watu waliamini Juve atabeba ndoo chakushangaza tukashuhudia akilanbwa 4,kidooogo Man U kwa sasa wakizoeana wanaweza kumsumbua lakin si kwa kumfanya asichukue ndoo wakat analiona mezani ,Namuona pia Cr7 mbali nakuelekea uzeeni bado sjaona wakumzuia asibebe Uchezaji bora kwa misimu mi2.Veva Zezou hakika nikocha bora kwa sasa hana mpinzani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemsahau David villaXavi, iniesta, messi!!! Noma sana hao watu. 2011, walimpigia fagasoni mpira mpaka akatetemeka mdomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hoja nadhani inamantiki sana, Ambayo hata mimi nafikri hivyo.Barcelona bado ni club bora, kinachoifanya ionekane imeshuka ni kwisha kwa utawala wake kwa Madrid. Kwa sasa Madrid ni club bora zaidi duniani
-thinkpad-
Kwanza unaweza kufkiria mpaka ukaumia moyoni yaani leo hii MESS atoa pass kwenda kwa Andares Gomes... Badala ya iniesta.. Xavi... Neymar... David Villa.... Pedro.... Sanchez.... Zlatan.... Ettoo.... Na wengine waliokuwa na ubora Kama huo..Kizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?