Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

Kwa kua akili huna..mi nimeanza kufatilia mpira wa ulaya miaka ya 90..kipindi hicho deportivo la coruna haikamatiki..sasa ningekua shabiki wa deportivo kipindi kile ungetaka nihame leo nihamie man city?
Sawa mi sina akili ndo maana sitaki kujibizana na shabiki wa Arsenal, please naomba uniache we mtu mwenye akili nyingi
 
Mchochezi omba mods waufute huu uzi. Ona sasa umeaibika mshikaji. Barcelona ipo on fire kaka.. subiri siku Messi astaafu soka ndio uje na haya maelezo. Messi akiritaya na Barcelona ndio basi tena tena. Vitim uchwara kama Man u, chelsea, Madrid n.k vitakuwa vinajipigia tu.
 
Kizazi cha sasa cha Barcelona kimefikia ukingoni, ni wakati wa Barcelona kuanzisha kizazi kingine.
Jana nilishuhudia Barcelona isiyokua na meno, jana nilimuona Messi akicheza kama namba 8,10,9 alifanya hivi akijaribu kufukia mashimo ya wengine lakini alishindwa.
Kuna wachezaji wengi hawana hadhi ya kuichezea Barcelona, wa kwanza ni Andre Gomes. Uyu jamaa sijui walimuokota wapi?
Miezi nane baadae baada ya comment yako, kuna mambo yamejidhihirisha.
 
uko sahihi
Mchochezi omba mods waufute huu uzi. Ona sasa umeaibika mshikaji. Barcelona ipo on fire kaka.. subiri siku Messi astaafu soka ndio uje na haya maelezo. Messi akiritaya na Barcelona ndio basi tena tena. Vitim uchwara kama Man u, chelsea, Madrid n.k vitakuwa vinajipigia tu.
Bado unasisitiza msimamo wako uzi ufutwe?
 
Mchochezi omba mods waufute huu uzi. Ona sasa umeaibika mshikaji. Barcelona ipo on fire kaka.. subiri siku Messi astaafu soka ndio uje na haya maelezo. Messi akiritaya na Barcelona ndio basi tena tena. Vitim uchwara kama Man u, chelsea, Madrid n.k vitakuwa vinajipigia tu.
Aseee bado mpo on fire au unazungumzia kings cup 😀😀
 
Ila ukweli usemwe msimu huu sababu tu real na atletico ni wabovu ila msingechukua ligi..... Competition ipo champions league hamvuki robo fainali kwa defence hii ya samedo na sergi roberto cjui umtiti alafu mnaota champions league..... U gotta be kiddin me 😀😀😀

Sioni wa kumzuia Barcelona kushinda treble!
Unabii umetimia -KANA-
 
Kila jambo huwa lina mwisho wake. Nimeshuhudia timu bora ya wakati wote Barcelona ikitamba katika soka la kisasa. Timu zote imara zilinyanyaswa na Barcelona ya kuanzia mwaka 2008-2012. Kisha Barcelona ya 2013 - 2015.

Wote ni mashahidi jinsi Messi, Xavi na Iniesta walivyoipa timu hii mafanikio. Kisha ikaja MSN nayo ikatamba na kunyayasa vilabu vingi vya Ulaya kama sio Dunia.

Na sasa naona mwisho wao Umefika, ni kama nilivyoshuhudia Mandela akifikia mwisho wake hapa Duniani, ni kama nilivyoshuhudia Ukuta wa Berlin ukidondoshwa mwaka 1990, Ni kama tulivyoshuhudia mwisho wa maisha ya Papa John Paul wa II, Ni kama nilivyoshuhudia mwisho wa Barack Obama kuwa Rais wa Marekani na sasa nashuhudia mwisho wa Timu bora ya wakati wote, Barcelona ikifikia ukingoni. Ni ukweli unaouma laikini hatuna budi kuukubali.

Asante mungu nimeishi katika kipindi cha timu bora ya wakati wote, na mimi nitakuja kuwasimulia wajukuu wangu panapomajaliwa.
Aina kitu mbele ya real Madrid (the real champion) of all the time.
 
Vizazi vinapita na ndio maana kulikuwa na kina Cruyff, etoo figo, de Lima n.k lazima zama zipite vizazi vingine vije
 
Back
Top Bottom