mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Huwezi kutoka kwa sababu damu inakuwa tayari imeshachanganyika na kilevi cha unga.Hiv ukivuta unajisikiaje mpaka iwe ngumu kutoka
Kwahyo Kuna muda unafika lazima uvute ili viungo na mwili ufanye Kazi.
Kuna muda mwilini unakuwa kama unapigwa shot ya umeme..
Ndy maana mateja asubuhi yanahaha Sana kupata unga.