mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Heroine Pakistan ni Dola ngapi?We hayo mambo watu wanayajua kabla hujaja mjini toka uporoto acha upoyoyo
Cocaine Brazil na Peru ni Dola ngp?
Na kwann marekani na brazili heroine ni Ghali kuliko cocaine?
Na kwann hapa tanzania heroine Ni rahisi kuliko cocaine.
Nijibu kwnza,,
Isije ikawa nabishana na dalali wa vyumba.