Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.

Kuwa makini usije ukawekewa kwenye kinywaji na wewe [emoji23]
 
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Ww umeona ugoro unasema cocaine, unaijua cocaine ww, unajua gharama zake, narudia tena, cocaine ipo lakin cyo kwa akina kajamba nani ni ghali
 
Huku bongo watakuwa wanakula crack cocaine ile chafu aisee
Babu yangu aliniachia urithi wa Block moja ya pure white coke, ile heisenberg type of shit…nahisi inakaribia kilo moja.
Mpaka leo sijui niifanyie nini
 
Hamna Cocain hapo hayo mashisha wanagonga yanajazwa brown sugar takataka
Na ndiyo hiyo unaona mateja huko mitaani.
Cocaine ni parefu hugusi km hujashiba mkwanja.
Hayo makapi ya heroin ndo unaona wanavutavuta yakichanganywwa kwenye sheesha.
Cocaine inabidi uwe na hela ndefu isiyoisha.
Sio hela za kupanda bajaj
Nimeshangaa jamaa anaitaja cocaine bila wasiwasi, na sidhani hata km anaijua, Cocaine ni pesa, cocaine cyo ya kutumiwa na mandezi ndezi
 
Wajinga ndiyo waliowao. Pole sana. Bashite alivalia njuga kitu gani? Bashite hakuwahi kuvalia njuga kitu kama madawa ya kulevya bali alikuwa anatumia madawa kuadhibu watu. Kimsingi aliharibu vita ya madawa.
Unaweza kufafanua na kuiweka vizuri hoja yako?

Sisi tuliona namna alivyotoka na orodha ya watu wanaojihusisha na hiyo "kada" na watu hao kuanza kushughulikiwa!

Sasa kusema tu alifanya kinyume na bila kufafanua wakati mamlaka za kisheria zilikuwepo na hazikumchukulia hatua, yahitaji maelezo ya ziada ama ya kina kuiweka sawa hoja yako hiyo.

Mimi nimekwisha kueleza kuwa, alifitinishwa na kuonekana ni adui wa nchi baada ya kutaja na kuwanyooshea vidole watu wasiogusika, wakatumia ukwasi wao kumpaka "upupu".

Na kwa kuwa waTz ni vibendera fuata upepo, kila mtu akageuka na kumsema vibaya Makonda, bila uthibitisho wa mabaya aliyoyatenda.

Maana mpaka leo ukimuuliza mtu, ni makosa gani dhahiri ya Makonda ayaweke wazi kwa vielelezo, kwamba ni aina gani ya "rafu" alizocheza katika mchakato huo ama katika uongozi wake wa uRc, huwa hakuna wa kujibu vya maana!

Ni kesi ngapi Makonda anafunguliwa kwa kishindo,halafu zinaisha kimya kimya kama upepo wa pancha?

Sisi tunaamini kwamba jamii iliyo'corrupt' huwa imelaaniwa, ni ngumu sana kama ngamia kupita katika tundu la sindano kuirudisha katika maadili, labda kizazi chote kiangamizwe kwa kiama kama cha Sodoma, kitakapozaliwa kizazi kingine kipya, labda chaweza kuwa na maadili pamwe hofu ya Mungu!
 
Hio kwa matajiri wanaokula kitu pure,,, ila masikini wanaokula iliyochanganywa na matakataka. Uteja fasta tu
Kitu kikiwa pure ndio uteja fasta. Yani ni sawa na pombe yenye alcohol percent 4, na yenye 40. Ya 40 itakupeleka fasta. Logic hiyo watu wengi inawacost. Maskini wanapata heroin tena nzuri maana pwani ya Tanzania inaleta sana kutoka Pakistan na Iran kabla ya kwenda ulaya. Usichanganye cocaine na heroin.
 
Nimeshangaa jamaa anaitaja cocaine bila wasiwasi, na sidhani hata km anaijua, Cocaine ni pesa, cocaine cyo ya kutumiwa na mandezi ndezi
Hajui chochote mshamba tu ,Hiyo kitu hela yake ndefu kiasi ukifanikisha unatoka mazima.
Bongo huwa inapita tu haitumiki hovyo.
 
Kitu kikiwa pure ndio uteja fasta. Yani ni sawa na pombe yenye alcohol percent 4, na yenye 40. Ya 40 itakupeleka fasta. Logic hiyo watu wengi inawacost. Maskini wanapata heroin tena nzuri maana pwani ya Tanzania inaleta sana kutoka Pakistan na Iran kabla ya kwenda ulaya. Usichanganye cocaine na heroin.
Mtu anaekula crack cocaine na cocaine pure uteja wao haufanani
 
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Jana nimepita mahala nimekuta kijana na gunia la chupa za plastiki anazookota akiwa amesizi barabarani yaani yupo hoi kwa kilevi cha kunusa

Hawa vijana wanauziwa madawa na watu wanaofahamika na dola. Mpaka naanza kuhisi labda madawa ni sehemu ya chanzo cha mapato ya nchi😡
 
Hao gundi
 
50000/5000=10. Kwa hiyo, 1 kg inaua ubongo wa wavulana na wasichana wetu Karibu elfu 10,000. Na thamani ya ubongo wa vijana wetu hawa wote ni sawa na 50,000 x 1,000= 50,000,000/=.

Ukisikia Shetani kazidiwa keti na mfuasi wake ndiyo hii.
hamna hiyo kitu mwongo huyo,tushasema hamna coke hapo ya kuvutwa mitaani,
heroin tena chafu ipo na ni vikete tu ndo utapata kwa bei hiyo anataja
 
Back
Top Bottom