Uteja hata sigara,,kunywa soda Sana,,pombe, kubeti ,,picha za ngono,,,yaani chochote kilichokufanya addicted basi ni uteja.
Ndy maana unaona mtu akikikosa kitu ambacho yupo addicted nacho ,,
anahaha mradi apate kile anachotamani.,
Ila tatizo la heroine ukiikosa unaumwa(AROSTO),,
either tumbo,,au unapigwa na kitu kama shot ya umeme mwilini.
Especially asubuhi lazima uvute ukae Sawa,,
Na jioni ili uweze kulala.
Hapo ni lazima uitafute kete uvute kwnz ndy inatibu hiyo AROSTO..
Vinginevyo utaharisha au kupata maumivu makali mwili mzima.
Cocaine haina madhara Sana.
Ndy maana hata marekani wakikushika na hyo COCAINE adhabu yake tofauti kidogo na heroine..
Heroine ni sumu..