Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Utaku
Mkuu tangu lni mleta information akawa kwnye matatizo?

Au wewe ndy unajaribu kumziba mdomo?

COCAINE Ni kweli ndy zinzouzwa Sana kwa sasa.
Especially wasanii na celebrities wengi wanatumia.

COCAINE inamfanya mtu atoe aibu na achangamke.
Na kwenye SEX NI BALAA KUBWA
Mfano wanamuziki wengi wa marekani na Dunia nzima wanatumia hyo especially wakiwa ktk stage

Mleta habari ameleta taarifa kueleza umma ana hoja asikilizwe
Ni kweli hilo Jambo lipo.

Utakuwa unatangaza biashara
 
Ndy mkuu..

Hiyo Ni product ya Afghanistan na Pakistan..
Sasa tunavyoambiwaga kuwa punda kunalipa mbona sielewi.

Gram bei ya kuuza 18000, means imefika chini ya hapo labda huko pakistan ni 5000 kwa one gram.


Kilo moja yaani 1000 grams ndio 5M sasa punda analipwa bei gani ili mzigo utoe faida/super profit ili achukue hiyo risk na kilo moja sio mchezo kumeza (wanavyosema wanameza).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Ungekuwa specific zaidi. Uliona maeneo gani au club zipi?
 
Haya mambo kama kina Bashite waliyavalia njuga kisha wakafitinishwa na umma na kuonekana ni maadui wa Taifa, wacha watu wavute, ndiyo maisha waTz wanapenda.

Hata ukisontea eneo linalouzwa haitasaidia chochote.

Sisi Jf tuendelee na mada zetu za hoja mchanganyiko zingene mbali kabisa na hiyo mada.
Wajinga ndiyo waliowao. Pole sana. Bashite alivalia njuga kitu gani? Bashite hakuwahi kuvalia njuga kitu kama madawa ya kulevya bali alikuwa anatumia madawa kuadhibu watu. Kimsingi aliharibu vita ya madawa.
 
Unga haulambwi mkuu..
.kila unga na SMELL tofauti ndy maana hata mbwa anayekamata madawa anafundishwa jinsi ya kutambua HARUFU.
.
Ndy maana unaweza usigunduwe unga ulipofichwa ,,
lakini mbwa akanusa na kutambuwa..

Na huyo huyo mbwa watu wanamdanganya harufu na wanapita hapo hapo na mbwa yupo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu la uhakika ambalo hata mahakamani watalichukua kama ushahidi ni la maabara. Unga unalambwa kuna level of numbness mojawapo inakua nayo kuzidi nyingine.

Ushahidi ukiwa ni Afande Adui aligundua ni cocaine kutokana na harufu hapo hafungwi mtu. Najua mara nyingi inatumika kahawa kumfanya mbwa asijue harufu.
 
Kijana kama hujuwi kaa kimya?

Cocaine haitoki Pakistan.

Cocaine inatoka PERU,COLOMBIA,CHILE,BRAZIL, ARGENTINA.

Heroine ndy inatoka Afghanistan na Pakistan..

Kama Jambo hujuwi kaa kimya.

heroine gram ni 18000 tu..

Ndy maana sometimes tunakuwa kimya kukwepa watu kama nyie.
We mpumbavu kama umeanza hiyo kazi juzi ndio ukae kimya.
Wenzio tulistaaafu wakati uko kijijini kwenu na huna lolote unalojua mbwiga we
 
Kijana kama hujuwi kaa kimya?

Cocaine haitoki Pakistan.

Cocaine inatoka PERU,COLOMBIA,CHILE,BRAZIL, ARGENTINA.

Heroine ndy inatoka Afghanistan na Pakistan..

Kama Jambo hujuwi kaa kimya.

heroine gram ni 18000 tu..

Ndy maana sometimes tunakuwa kimya kukwepa watu kama nyie.
Wengi hawajui tofauti ya cocaine na heroin. Wanadhaani cocaine na heroin ni sawa, moja wanaita unga mchafu dah! 🤣
 
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Mkuu tupe taarifa ni wapi sisi wengine ndo tunapopatia ugali wetu [emoji16][emoji16]
 
Kuna watu wanachekesha sana hapa.
Kama mnalalamika unga wa mahindi 3000 umepanda na maharage 2000 sasa we Cocain ya nini?😅😅😅 hiyo ni 50 + kwenda mbere line moja mtawezaje?
Mudu kwanza Ugali maharage vuta bangi lako tu bei sawa na bure 500-1000 unapumzika murua .Hizo mambo mengine waachie wenye hela zao tu.
 
Back
Top Bottom