Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tupe code mkuu.Mnataka kujifanya hamumjui supplier mkuu wa ngada sio?
Ugumu wa maisha na bongo movie hailipiHivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Lakini sio justifications itumike hovyo au kuruhusiwa itumike na raiaHiyo ni starehe za watu,ilikuwepo na itaendelea kuwepo
Ova
Cocaine sio heroin..50000/5000=10. Kwa hiyo, 1 kg inaua ubongo wa wavulana na wasichana wetu Karibu elfu 10,000. Na thamani ya ubongo wa vijana wetu hawa wote ni sawa na 50,000 x 1,000= 50,000,000/=.
Ukisikia Shetani kazidiwa keti na mfuasi wake ndiyo hii.
Unga haulambwi mkuu..Achana na muvi unga wowote mweupe mweupe ili majibu yaje kuonyesha ni madawa ya aina gani hua mpaka yapelekwe maabara. Unless kama kuna detailed info kuihusu hiyo kazi.
Now drugs zinatofautiana kuleta high so waweza hisi askari akifika eneo la tukio akisniff/ akilamba tu anajua haya ni madawa gani au siyo? Now what if hicho anacholamba ni sumu? Kwa kuepuka hilo askari in real life hua hawayatambui madawa kwa kuyalamba badala yake huyapeleka maabara.
Hoja yako ya kusema umejua ni cocaine kwaajili ya uchangamfu uliouona naona haiko sawa, kuna crystal meth na LSD na zinaleta uchangamfu kuliko cocaine.
Nafikiri unaona ni ngumu kiasi gani kuamini hitimisho lako la ulichoona ni cocaine simply kwakua umeona watu wamechangamka.
Tatizo la heroine ukivuta ukikosa unaumwa(AROSTO)
Kama unatambua ni biashara za watu kwanini umeleta humu?! Hovyo kabisaNikikutajia club utaleta info gani, zaidi ya kuchafua biashara za watu? Nafahamu ni cocaine baada ya kuwaona reaction zao, uchangamfu etc...
20000 Hadi 18000 inategemea na high demand.
Kusafiri nje ni PHD YA MAISHA TOSHA.We ndo mana unajiita mwandende kwasababu ni mwandende kweli kweli
Kijana kama hujuwi kaa kimya?Hamna Cocain bongo ya 50000 huyo Mwongo kabisa.
Hizo wanaagiza maponjoro hao zinaletwa toka pakistan
Heroin ipo mitaani hata 5000 utapimiwa.
Sijuwi ila wanaouza ndy wanajuwa.
Duuh!!Sijuwi ila wanaouza ndy wanajuwa.
Gram 1 ukivuta unakufa straight..
Huo ni uongo lolCocaine inachukua muda mrefu sana kuleta uteja. Ni kazi ya miaka. Ni ngumu kumjua mtumiaji pia.
So heroine ndio wanatumia hawa mateja wengi tunaowaona mtaani?Kijana kama hujuwi kaa kimya?
Cocaine haitoki Pakistan.
Cocaine inatoka PERU,COLOMBIA,CHILE,BRAZIL, ARGENTINA.
Heroine ndy inatoka Afghanistan na Pakistan..
Kama Jambo hujuwi kaa kimya.
heroine gram ni 18000 tu..
Ndy maana sometimes tunakuwa kimya kukwepa watu kama nyie.
Ndy mkuu..