Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

A
Mkuu tangu lni mleta information akawa kwnye matatizo?

Au wewe ndy unajaribu kumziba mdomo?

COCAINE Ni kweli ndy zinzouzwa Sana kwa sasa.
Especially wasanii na celebrities wengi wanatumia.

COCAINE inamfanya mtu atoe aibu na achangamke.
Na kwenye SEX NI BALAA KUBWA
Mfano wanamuziki wengi wa marekani na Dunia nzima wanatumia hyo especially wakiwa ktk stage

Mleta habari ameleta taarifa kueleza umma ana hoja asikilizwe
Ni kweli hilo Jambo lipo.
Achana nalo jinga moja hilo iq ndogo za wengi wanaopelekwapelekwa.
 
Ila hiki kizazi cha miaka hii sijui kama kitatoboa utu uzima. Maana vijana na mabinti wa sasa maisha wanayoishi huwa najiuliza wanafuture gani hapo baadae.
Kama huta pendekezwa kuwa mtu kwenye sehemu husika basi wewe hukuona na wala hujawahi weka malengo kwenye hayo maeneo... Diaspora tu ndio walio weza kuwaza na kupaza sauti zao kwani wewe Zemanda ulikua wapi!?
 
Umefanya makosa unge ita police faster wawakamate Ila hukufanya hvyo ukaamua kuja kuleta huku
Kuleta huku ni vizuri ili Dunia nzima na watanzania wote kwa ujumla wafahamu kinachotendeka.

Suala la kuita police lingeisha kimya kimya na kuwapa ulaji watu wengine.

Hapa kuripoti matukio kama hayo ndy mahala pake
 
Hamna Cocain hapo hayo mashisha wanagonga yanajazwa brown sugar takataka
Na ndiyo hiyo unaona mateja huko mitaani.
Cocaine ni parefu hugusi km hujashiba mkwanja.
Hayo makapi ya heroin ndo unaona wanavutavuta yakichanganywwa kwenye sheesha.
Cocaine inabidi uwe na hela ndefu isiyoisha.
Sio hela za kupanda bajaj
 
Back
Top Bottom