Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Nimeshuhudia wimbi la matumizi ya cocaine Dar es Salaam

Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.

Ujuzwe kwamba na wewe unataka au?
 
Hamna Cocain hapo hayo mashisha wanagonga yanajazwa brown sugar takataka
Na ndiyo hiyo unaona mateja huko mitaani.
Cocaine ni parefu hugusi km hujashiba mkwanja.
Hayo makapi ya heroin ndo unaona wanavutavuta yakichanganywwa kwenye sheesha.
Cocaine inabidi uwe na hela ndefu isiyoisha.
Sio hela za kupanda bajaj
Wewe huna unalojuwa kaa kimya,,
 
Hivi karibuni nimepata kutembea katika club za usiku jijini Dar, nimeona vijana hasa wanawake wana sniff/snort cocaine(sio heroin) tena hadharani na bila woga, imenishangaza sana kuona kitu hiko. Kama kuna mtu anafahamu wanapataje, how common it is kwa sasa au kwanini kunaongezeko hilo tujuzane.
Kama inakukera ulipaswa kuchukua hatua kwa kuripoti kwenye vyombo husika. Otherwise na wewe ni mshiriki wa uvutaji cocaine
 
Basi elewa gram 1 pure cocaine ni sh 50,000 za tanzania,,
Kama unataka kujuwa..

Na mvutaji havuti gram moja ,,atavuta kete moja labda ya sh 5000 ,,

Sasa huo ugharama wa hali ya juu upo wp?
50000/5000=10. Kwa hiyo, 1 kg inaua ubongo wa wavulana na wasichana wetu Karibu elfu 10,000. Na thamani ya ubongo wa vijana wetu hawa wote ni sawa na 50,000 x 1,000= 50,000,000/=.

Ukisikia Shetani kazidiwa keti na mfuasi wake ndiyo hii.
 
Nikikutajia club utaleta info gani, zaidi ya kuchafua biashara za watu? Nafahamu ni cocaine baada ya kuwaona reaction zao, uchangamfu etc...
Achana na muvi unga wowote mweupe mweupe ili majibu yaje kuonyesha ni madawa ya aina gani hua mpaka yapelekwe maabara. Unless kama kuna detailed info kuihusu hiyo kazi.

Now drugs zinatofautiana kuleta high so waweza hisi askari akifika eneo la tukio akisniff/ akilamba tu anajua haya ni madawa gani au siyo? Now what if hicho anacholamba ni sumu? Kwa kuepuka hilo askari in real life hua hawayatambui madawa kwa kuyalamba badala yake huyapeleka maabara.

Hoja yako ya kusema umejua ni cocaine kwaajili ya uchangamfu uliouona naona haiko sawa, kuna crystal meth na LSD na zinaleta uchangamfu kuliko cocaine.

Nafikiri unaona ni ngumu kiasi gani kuamini hitimisho lako la ulichoona ni cocaine simply kwakua umeona watu wamechangamka.
 
Back
Top Bottom