Jibu la uhakika ambalo hata mahakamani watalichukua kama ushahidi ni la maabara. Unga unalambwa kuna level of numbness mojawapo inakua nayo kuzidi nyingine.
Ushahidi ukiwa ni Afande Adui aligundua ni cocaine kutokana na harufu hapo hafungwi mtu. Najua mara nyingi inatumika kahawa kumfanya mbwa asijue harufu.
Lazima uelewe kwamba kabla ya kufikishwa mahakamani mtuhumiwa ni lazima awe amekamatwa.
Je atakamatwaje?
Police watagunduwaje wewe una madawa na hayaonekani kwa macho?
Ndy hapo wanatumia mbwa maalum mwenye mafunzo au body scanner,,au chamicals maalum wakipitisha kwenye either simu,nguo,bag ,mikono yako na ikaonyesha dalili za kushika,au kugusa madawa ya kulevya ndy hapo huwekwa kama suspect ili wajiridhishe.
Baada ya kukamatwa ndy anapelekwa mahakamani.,
Labda nikueleze Jambo.
Ktk inchi zilizoendelea mfano ulaya na marekani police hasubiri mkemia mkuu wa kupima madawa.
Wamepewa go ahead ya kufanya kila kitu na kupeleka ushahidi mahakamani,
.ndy maana mtu anakatwa Leo na.kesho anafungwa.
Kuna kipimo cha kupima aina zote za madawa na yanajulikana kwa Rangi yake baada ya kuwekwa chamicals fulani,,
Mambo ya kulamba,,sijuwi kupeleka kwa mkemia ni zamani sn hayo ndy maana kesi za madawa Africa zinachukuwa mlolongo mrefu sn.