Huwezi kutoka kwa sababu damu inakuwa tayari imeshachanganyika na kilevi cha unga.Hiv ukivuta unajisikiaje mpaka iwe ngumu kutoka
Zinapatika wapUkitaka utajirike mapema anza uza fents maana ziko ka vidonge
From experienceUlijuaje kama ni cocaine ??
Hapo mwanzo kabla ya mambo ya mkono,,mpako,,Hiv inaleta nini?
Au ashki???
Kabisa mkuu..Kwa sasa ngada inaingia kwa kasi ya kimbunga... ukiwa kwenye mamlaka na hujaamua kula vyako mapema kipindi hiki kaa usahau maisha bora maishani ( hiki kipindi cha mlichukue na hili)
Mtu atanunuwa labda gram 100 jumla ambayo Ni $1000.Mbona kama retailer hapati kitu, kama kanunua 1kg $10k akiuza 1g $10 mbona hapati faida yoyote, au mi ndio sijaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwanini mateja wanakua na sura za kizee hata kama ni kijana...yaani kachokaa, yaani ukimuona tu unamuona huyu ni teja.Huwezi kutoka kwa sababu damu inakuwa tayari imeshachanganyika na kilevi cha unga.
Kwahyo Kuna muda unafika lazima uvute ili viungo na mwili ufanye Kazi.
Kuna muda mwilini unakuwa kama unapigwa shot ya umeme..
Ndy maana mateja asubuhi yanahaha Sana kupata unga.
Ile ni sumu,,Na kwanini mateja wanakua na sura za kizee hata kama ni kijana...yaani kachokaa, yaani ukimuona tu unamuona huyu ni teja.
Kwanini wanapata ule muonekano?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh,Ile ni sumu,,
Halafu ladha yake heroine ni chungu Zaidi ya shubiri,,
Wanapovuta lazima wakunje uso sababu ya uchungu wa heroine,
Na ukichanganya na hali ya kutokupenda Kula ndy kunafanya wawe vile.
Taste ya heroine ni chungu Sana mdomoni.
Mtu atanunuwa labda gram 100 jumla ambayo Ni $1000.
Atauza gram kwa $12 kila gram kwa rejareja,,.atawauzia wafunga kete mitaani.
.
Brown Sugar makapi Nyeupe hugusiπ π π π TZ kuna Cocaine ya 50K mkuu
Naskia ukisex na teja yaani wewe tu umwambie imetosha ...Hapo mwanzo kabla ya mambo ya mkono,,mpako,,
. wanaume wengi walikuwa wanatumia kama nguvu za kiume.
.ukivuta heroine ukisex hukojowi hadi kesho kutwa..
80% waliingia kwa style hyo..
Ila kwa sasa watu wanaingia sababu ya kuiga na kuwa na watu sio sahihi.
Haha...sasa kuna watu ukiwaona wanaotumia ngadaWengi waliingia kwa style kama hiyo ,,
Najaribu Leo,
Kesho tena.
Nakuhusia ndugu yangu sumu haionjwi,,
Usijaribu kutumia madawa ya kulevya.
Mkuu coke bongo ipo s3ma inakuwa haiko pure 100%Sijui , sifanyi hiyo biaShara, we unajua tutajie.
Na mtu akishafika hatua ya kujishoot sindano kwenye mishipa basiMfano Kuna style moja ya uvutaji inaitwa cocktail.
Hii unga unachanganywa kwenye sigara au bangi na kuvutwa,
Sasa kama wewe Mzee wa kugongea sigara,
Ukipewa hyo siku mbili tatu utaona mbona Ni tamu Sana?
Hapo ndy penye shida inapoanzia.
Mteja ananzia kuanza kuvuta kwa kutumia either sniffing au cocktail (sigara?
Hii ndy kwa wanaoanza kuvuta.
Dose ikiwa kubwa ndy wanahamia kwenye sindano na kupiga bati(foel linachomwa juu wanaweka unga chini wanapitisha moto kwa gas lighter)
Nani kakuambiaKwa sasa ngada inaingia kwa kasi ya kimbunga... ukiwa kwenye mamlaka na hujaamua kula vyako mapema kipindi hiki kaa usahau maisha bora maishani ( hiki kipindi cha mlichukue na hili)
Issue ndg tu....maana mwili wa tejaNaskia ukisex na teja yaani wewe tu umwambie imetosha ...
Nilikua nasikiaga ila sielewi muunganiko