Nimesikia wrong sex inaleta mikosi maishani kwanini?

No wonder sina utajiri ila mimi sio maskini
Na micheps wangu wote nmewanunulia mapens nyanya ya kuvaa ndan ya madera najua kama ntaanguka leo msiban hapatatosha
 
Ukiachana na mambo ya dhahania yanayoitwa ya Kiroho.

Kufanya sex na partners wengi huwa na madhara yanayosababisha madhara mengine kama vile:

1. Kutumia fedha nyingi kwenye mchakato. Kisha nafsi inakusuta. Unakosa amani kamili na utulivu wa akili.

2. Kuwa mchovu kwa sababu ya mwili kutumika sana.
Ukishakuwa mchovu, unaanza kughairi mambo, kesho kesho nyingi. Watu wanaanza kukuona mzinguaji. Wanaachana na wewe kwenye mambo ya maana.

3. Kuwa stressed kutokana na kuwa na partners wengi, wanademand attention yako, kukulaumu kwa mapungufu yako na yao, n.k, wakati huo huo, kazi haziendi sawasawa.

Huu mlolongo wa matukio negative ndiyo watu huita mikosi.

Kimsingi, suluhisho ni kuwa na kiasi tu katika ngono ili uendelee kuwa na focus na will power ya kufanya kazi.
 
Sahihi...
 
wewe kama ni chovya chovya wewe chovya tu na kama unaamua kufa na utamu wako ni sawa mwisho wa siku sote tutakufa sasa unakufaje bila kuexperiece vitu ambavyo utaviacha? bro ukifa hakuna kutombana.
njoo niku shenyente basi
 
Back
Top Bottom