MKuu hizi elimu ni pana Sana hata Nikijaribu kuelezea Nitakuwa Naacha vitu Vingi Mno..
Kiufupi Sex ikifanywa kama wanavyofanya Vijana sasa Hivi leo yuko na Huyu kesho yuko na Yule Ni hatari sana na hata hupeleka Kupoteza mwelekeo wa mambo yake..
Sex ni lango La kuingia kwenye Malimwengu mbali mbali na zamani walikuwa Wakifanya Hivyo Kwa Wahindu na Kwa Wabudha (Japo mpaka sasa wanafanya Ila sio kwenye Masinagogi yao kama zamani)
Umewahi kusikia Maneno kama Sexual alchemy, Au Sexual Transmutation (Au Sexual energy Transmutation)..
Au umewahi kusikia kuhusu YingYang na Tao Practise?
View attachment 3104812
Mnapokuwa Mnafanya Mapenz kadri mnavyozidi kuzama Intimacily ndo mnavyozidi kubadilishana Energy au msipobadilishana bhasi mtashare energy sasa hapa ndo kuna shida unaweza ukachukua Energy za Wadada Zaidi ya Kumi tofauti kwa siku moja na Kila Energy ina Frequency yake na ina mambo yake mwingine ana mikosi unabeba na mwingine ana shida unabeba..
Mwisho wa siku unajikuta hata weww mwenyew hujielewi Akili.yako Inakumbwa Na stress ambazo hujui hata zinatoka nini na ndo maana Watu Husema kuwa huenda Hizo ni Kubadilishana kwa roho chafu (Demon Transfer)..
Kuna Vingi sijavielezea Hapo Vingi sana naviacha blank.. na hayo Ni pamoja na Kumwaga Semen na Vingine...
Tuhamie kwenye Sayansi..
Unapofanya mapenz na mwanaume wewe mwanamke una Micro DNA information iliyojaa taarifa na karma na Mapito ya Huyo mwanaume..
Kitalaamu Transfer hii huitwa
male microchimerism. (Ingawaje bado ipo Kwenye Discussion)..
Japo Mpaka Sasa Inakubalika kwa asilimia chache kwamba Mkifanya mapenzi wote mnaachiana some sort of Micro Information ambazo ndo huitwa Microchimerism..
Kwa sasa Microchimerism au Kuhamisha DNA kwenda kwa mwingine inakuwa Regarded sana na imekubalika kwa reseadch ni Pregnancy Microchimerism..
Kwamba mwanamke akibeba mimba ya mwanaume bhasi baadhi ya DNA kutoka kwa Mwanaume Humwingia na Hazitoki Mpaka anapokufa ..