Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Wakati kikwete anafunga kampeni mwaka 2005 liliangushwa bonge moja ya performance na moja ya watu walioperform ni YP (marehemu) na Ydash na nyimbo yao shemsa ile performance yao sitakaa niisahau ilikuwa nzuri sana
Na ukizingatia TMK ndo walikuwa katika peak yao na style ya mapanga na kauli yao ya wanaume mapanga shwa ilikuwa maarufu sana mtaani yaani mtu akipita mahali akiwakuta anasema wanaume mnaitikia mapanga anajibu shwa
Nahisi hakuna performance kama ile ya kufunga kampeni za ccm kwanini ilikuwa bora na nzuri

- CCM bado kwa kiasi kikubwa sana ilikuwa inaaminiwa sana na wananchi
- Kikwete moja ya wagombea maarufu kabla na mpaka sahivi sidhani kama kumekuwa na mgombea alikuwa na spark kama kikwete