Nimesikiliza album yote ya ALI KIBA, frankly speaking ngoma zimepoa mno

Kweli watu tumetofautiana taste.

Kwangu wimbo wa Utu ndio wimbo mkali kuliko zote kwenye album.
Huyo mpka ameitaja utu ujue anaikubali ila hataki kusema tu, mbona hajataja nyingine, eti utu ya kawaida [emoji1]
 
Ulitaka aimbe amapiano ndo uone imechangamka?
 
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 
Imepoa ila Sportfy streaming 1mil mpaka sasa, jaribuni kuziheshimu hizi digital platform.
 
Ngoma zote zimenikosha ila Hizi "utu" na "happy" nimezirudia mara nyingi zaidi mziki wa heshima huu big up King
 
Hii Gimme dat
Hii Niteke ndo balaa
Hii Bwana mdogo ni shida
Ila nyngne za kawaida sana kama UTU ya kawaida mno
Tusibr album za wasanii wengne Mayonaizi,Juksi,Sadala,Dumpoz wote wanatoa mwaka huu
Nimependa hayo majina ya wasanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…