Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mpka ameitaja utu ujue anaikubali ila hataki kusema tu, mbona hajataja nyingine, eti utu ya kawaida [emoji1]Kweli watu tumetofautiana taste.
Kwangu wimbo wa Utu ndio wimbo mkali kuliko zote kwenye album.
Ulitaka aimbe amapiano ndo uone imechangamka?Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.
Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza
Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking
!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Nimeskiliza ngoma zote za album ya Alikiba ngoma zimepoa sana. Kati ya nyimbo zote nimependa nyimbo mbili tu
*Niteke
*Let me
Nyimbo zingine zote hamna kitu na marudio tu ya ngoma zake zingine.
Ngoma chache sana ndo zenye vibe, na siku hizi watu wanapenda ngoja zenye vibe sio za kuskiliza
Tupe maoni yako juu ya hii Album ya Alikiba #Onlyking
!Ila king atendelea kuwa king tu![emoji58]
Alikudharau wewe?Tatizo ana kiburi kingi na dharau, kiufupi Ni mpumbavu
WeweAlikudharau wewe?
Nimependa hayo majina ya wasanii.Hii Gimme dat
Hii Niteke ndo balaa
Hii Bwana mdogo ni shida
Ila nyngne za kawaida sana kama UTU ya kawaida mno
Tusibr album za wasanii wengne Mayonaizi,Juksi,Sadala,Dumpoz wote wanatoa mwaka huu
Powa.Wewe
Bado mapemaStreams zinasoma ngapi huko???