Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Unafanya kazi gani? mkataba wako unasemaje?Hakuna mkataba ambao utakuwa open tu kwamba majukumu yako yakiwa hayahitajiki au yamefikia ukomo utaendelea kulipwa tu bure. Iwe serikalini au nje ya serikali, mkataba lazima utakuwa na kipengele kwamba kama hakuna tena uhitaji wa majukumu yako utaondolewa.
Una hoja usipuuzwe?Huwezi kuwa swala tano then ukawa mzima upstairs.
Nauza kitimoto, sina mkataba.Unafanya kazi gani? mkataba wako unasemaje?
Una mfanyakazi nyumbani kusaidia kulea watoto una mpa kazi ya uhasibu? Anayekusaidia kuuza kiti moto unamwambia pia awe dereva wako au utamfukuza kazi akikataa?Nauza kitimoto, sina mkataba.
Hii ndo nilikuwa naitafuta.Ila mikataba ya kazi pia inampa room kumpangia mtumishi majukumu mengine na mtumishi anapaswa kuyafanya provided that hayamdhalilishi.
Uhasibu ni kazi ya kitaaluma, kazi za nyumbani kwangu hazihusiani na biashara yangu ya kitimoto, anayeuza kitimoto kwangu anaweza pia kuwa dereva wangu au nikamtuma sokoni kuleta ndizi mzuzu za kuuzia na kitimoto pamoja na viungo vya kutengenezea rosti ya kitimoto.Una mfanyakazi nyumbani kusaidia kulea watoto una mpa kazi ya uhasibu? Anayekusaidia kuuza kiti moto unamwambia pia awe dereva wako au utamfukuza kazi akikataa?
Sana tu, tena mafaili ya serikali. Uhasibu, ukiuza siri, faili, watu wanapiga bilioni, lazima kuwe na system ya ku- record, ku-trace, ku- verify every file. Comprising systems, vitu viwekwe kwa mpangilio.Kupanga files unahitaji taaluma?, tuwe serious na maisha. Watoto wangu weekend huja ofisini na husaidia kupanga files, kwani aliambiwa aandike references?
Watumishi wa serikali wanaajirwa na utumishi na hawawezi kufukuzwa kazi na CAG.Sana tu, tena mafaili ya serikali. Uhasibu, ukiuza siri, faili, watu wanapiga bilioni, lazima kuwe na system ya ku- record, ku-trace, ku- verify every file. Comprising systems, vitu viwekwe kwa mpangilio.
Tatizo ni dharau yenu kwa dereva. Kuna tofauti gani kati ya dereva anayemwendesha CAG, Rais, basi la watu 80, pilot au dereva,wa treni? Akiamua kuwapoteza ni dakika sifuri ajali kwa upande wako. Hata dada anakusaidia kupika unahitaji kumuheshimu na mkataba wake, anaangalia afya yako, watoto wako. Huko Ulaya analipwa vizuri sana na haki zake zinaheshimiwa vizuri.Uhasibu ni kazi ya kitaaluma, kazi za nyumbani kwangu hazihusiani na biashara yangu ya kitimoto, anayeuza kitimoto kwangu anaweza pia kuwa dereva wangu au nikamtuma sokoni kuleta ndizi mzuzu za kuuzia na kitimoto pamoja na viungo vya kutengenezea rosti ya kitimoto.
Udereva ni mojawapo ya life skills, ila sio taaluma kama pilot au dereva wa treni.Tatizo ni dharau yenu kwa dereva. Kuna tofauti gani kati ya dereva anayemwendesha CAG, Rais, basi la watu 80, pilot au dereva,wa treni? Akiamua kuwapoteza ni dakika sifuri ajali kwa upande wako.
Udereva ni mojawapo ya life skills, ila sio taaluma kama pilot au dereva wa treni.
Kama hana matatizo ya akili dereva hawezi tu kuamua kuwapoteza watu kwa sababu na yeye anaweza kujipoteza atakapojaribu kufanya hivyo.
Umepaniki,Kila kitu ni life skills. Kwako life skills ni nini? Unafikiri tulifanyaje biashara kwa maelfu ya miaka bila hiko cheti chako cha uhasibu, kabla ya University of Dar (UDSM) haijaundwa?
😂Same same kwa walokole wakunena kwa lugha
Wala, I am relaxed, nachukulia kama zoezi la kutoa elimu ya uraia, haki zako kazini, hazi zako zote.Umepaniki,
Kwa hiyo Hr anaweza fanya kazi za sheria kisa kasoma labour laws? Political scientist kuwa mchumi kisa kasoma political economy? Huko uliko baki hukohukoMhasibu hasomei manunuzi, hr na uhasibu?. Zote hizi ni sehemu ya kozi yake.
Sasa kulia Lia ndiyo suluhisho? Kila akihojiwa lazima alilie u CAG? Hizo akili za kulilia nafasi kama mtoto wa kambo aachane nazo... Yeye sio wa kwanza kupigwa chiniUkiona mtu muoga jua kuwa ni mjinga bado maana uoga ni ishara ya ujinga. Pro anajiwelewa na kujiamini ndiyo maana hana uoga. Huwezi kutolewa kwenye nafasi yake kiuni na yeye akae kimya tu. Waafrika tuna shida sana kifra
Huna akili timamuNyie wafuasi wa Asad mnahasira kwa kuwa tumemvua nguo mtu wenu.