Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Unafanya kazi gani? mkataba wako unasemaje?Hakuna mkataba ambao utakuwa open tu kwamba majukumu yako yakiwa hayahitajiki au yamefikia ukomo utaendelea kulipwa tu bure. Iwe serikalini au nje ya serikali, mkataba lazima utakuwa na kipengele kwamba kama hakuna tena uhitaji wa majukumu yako utaondolewa.