Lazima majukumu atakayopangiwa yawe yana relate na ujuzi/kazi aliyoajiriwa nao.Ila mikataba ya kazi pia inampa room kumpangia mtumishi majukumu mengine na mtumishi anapaswa kuyafanya provided that hayamdhalilishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima majukumu atakayopangiwa yawe yana relate na ujuzi/kazi aliyoajiriwa nao.Ila mikataba ya kazi pia inampa room kumpangia mtumishi majukumu mengine na mtumishi anapaswa kuyafanya provided that hayamdhalilishi.
sema anakarama ya uongozi..kitu ambacjo Africa ni wachache wanaomuelewa ukiwepo wewe kilaza wa ccm😑Nimemsikiliza pia kwa umakini mkubwa lakini nilipofikia hapo nikaona tatizo Lake.
Anaamini anajua kila kitu jambo ambalo sio kweli, hakuna mtu anajua kila kitu.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Ulaya kama hauna tija unafutwa kazi haraka sana, huyo dereva alikuwa mfanyakazi hewa.
Nimesikiliza pia hakufukuzwa kwa kugoma kufanya kazi nyingine, ila aliponyimwa malipo alisusa akatokomea kusikojulikana.Nimemsikiliza pia kwa umakini mkubwa lakini nilipofikia hapo nikaona tatizo Lake.
Anaamini anajua kila kitu jambo ambalo sio kweli, hakuna mtu anajua kila kitu.
Kwenye barua ya ajira (Serikalini)kuna kipengele kinasema.....".AU KAZI NYINGINE UTAKAYOPANGIWA NA MWAJIRI."Lazima majukumu atakayopangia yawe yana relate na ujuzi/kazi aliyoajiriwa nao.
Same same kwa walokole wakunena kwa lughaHuwezi kuwa swala tano then ukawa mzima upstairs.
Inapotokea kazi aliyoajiriwa nayo haipo kwa wakati huo msimamizi wake wa ajira anatakiwa afanye nn?Lazima majukumu atakayopangiwa yawe yana relate na ujuzi/kazi aliyoajiriwa nao.
Tena kichwa haswaa mpaka leo anamachunguWakala kichwa.
Hakika yaani kupanga file tu unasusaKwenye barua ya ajira (Serikalini)kuna kipengele kinasema.....".AU KAZI NYINGINE UTAKAYOPANGIWA NA MWAJIRI."
Lazima iwe ina relate na kazi uliyoajiriwa nayo. Siyo uliajiriwa kama Mwalimu alafu upewe majukumu ya ulinzi. Kisheria haikubaliki.Kwenye barua ya ajira (Serikalini)kuna kipengele kinasema.....".AU KAZI NYINGINE UTAKAYOPANGIWA NA MWAJIRI."
Pengine hapo awali ilikuwepo..sasa haipo..ungekuwa mwajiri ungefanyeje?Unaajiri vipi mtu bila kazi kuwepo??
Anafuata utaratibu wa retrenchment mkuuInapotokea kazi aliyoajiriwa nayo haipo kwa wakati huo msimamizi wake wa ajira anatakiwa afanye nn?
Hata mimi nilimshangaa ,
Unajisifiaje kumuachisha mtu kazi kwa kukataa kufanya majukumu ambayo sio yake kimkataba??