Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Na yeye mwenyewe alivyotemwa mpaka Leo analalamika
 
Hata mimi nilimshangaa ,

Unajisifiaje kumuachisha mtu kazi kwa kukataa kufanya majukumu ambayo sio yake kimkataba??

Wangemwambia wanapunguza madereva kazini kumpa mafao yake yote na kutangaza na kuajiri office admistrator angetaka angeomba hiyo kazi akijua anaomba kazi gani. Alichofanya ni dharau kubwa kwa madereva na proffessional yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…