Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Alichokisema Profesa ni kuwa huyo dereva hakuwa na mtu wa kumuendesha kwa hiyo alikuwa anashinda siku nzima bila kufanya kazi yeyote. Profesa akapendekeza kuwa kwa vile hafanyi kazi aliyoajiriwa basi asaidie kupanga mafaili. Jamaa baada ya kuifanya kwa muda mfupi akaandika barua ya kudai malipo ya ziada kwa kuwa anafanya kazi ambayo hakuajiriwa. Alipojibiwa kuwa hamna pesa hazipo za kumlipa akaamua kuacha kuja kazini kwa wiki nne.

Alifukuzwa kazi kwa sababu hiyo na sio kwa sababu alikataa kufanya kazi aliyoajiriwa. Kutoonekana kazini bila ruhusa kwa muda fulani ni sababu tosha ya kuachishwa kazi. Dereva alitaka alipwe mshahara wa bure.

Ambacho hakujua ni kuwa angeweza kuachishwa hiyo kazi kwa sababu hiyo ya kukaa idle tu. Ile kupanga mafaili kungeonyesha umuhimu wake mpaka siku angepewa mtu wa kumuendesha. Profesa yuko sahihi kabisa kwenye hili. Kiburi cha kijinga ndio kimempoza huyo dereva.

Amandla...
 
Alikuwa na tija kwenye kazi yake ya udereva, hakuna na tija kupanga ma-file ambayo sio kazi yake. Ulaya angetetewa na vyama vya wafanyakazi kupata fidia kubwa tu for nfair dismisal.
Kwa sababu hakuwa na mtu wa kumuendesha alitakiwa aondolewe kabisa kazini.
 
huenda masikio yetu yalikuwa pamoja, huenda bwana stroke ameangalia mahojiano yaliokuwa yameshaingiliwa na wahuni
 
Lazima iwe ina relate na kazi uliyoajiriwa nayo. Siyo uliajiriwa kama Mwalimu alafu upewe majukumu ya ulinzi. Kisheria haikubaliki.
Sahihi, ilitakiwa huyo dereva aondolewe kazini kabisa kwa sababu hakuwa na kazi ya kufanya tena hapo ofisini.
 
Kwa sababu hakuwa na mtu wa kumuendesha alitakiwa aondolewe kabisa kazini.

Angefanya hivyo na kumlipa stahiki zake zote angekubali kuondoka kutafuta kazi nyingine. Sio kesho mtu anakuja kazini ni Daktari unamwambia ufanye usafi. Walimuonea sababu ni dereva. Udereva ni kazi muhimu, bila focus kupoteza maisha ya abiria ni dakika sifuri.
 
Kati ya retrenchment na kumpangia majukumu mengine, ni wapi anaonyesha kuwa na utu zaidi?
Hapa tunajadili kufuata taratibu za ajira na sio utu.

Tukimaliza hilo tutakuja kwenye huo utu unaouzungumzia ambao hata huo huyo mtu wako hana.
 
Kati ya retrenchment na kumpangia majukumu mengine, ni wapi anaonyesha kuwa na utu zaidi?
Afadhali retrenchment kuliko kufanyakazi ambayo hana ujuzi nayo anaweza kufukuzwa kazi kwakutotimiza majukumu yaani sawasawa underformance ambayo inakubalika kisheria za utumishi. Lakini retrenchment unalipwa pesa nzuri tu.
 
Kuna bodi gani imefanya kazi kwa Mafanikio nchi hii? Ni full ujinga tu.

Huyu prof siyo wa level za vinchi hivi uchwara ndiyo maana alishindwa kuongoza bodi uchwara kwa maagizo na maelekezo uchwara.

Prof. Assad hoyeee!!!!
Prof. Assad Asante kwa kuyashika makende ya jiwe kisawasawa. Ndiyo maana wafuasi wake wanakusakama.


.
 
Hapa tunajadili kufuata taratibu za ajira na sio utu.

Tukimaliza hilo tutakuja kwenye huo utu unaouzungumzia ambao hata huo huyo mtu wako hana.
Ehhh..amekuwa tena mtu wangu..kwaheri mkuu. Uwe na usiku mwema.
 
Nyumbu katika ubora wake.
 

NLISEMA HUYU ANA MATATIZO YA KISAIKOLOJIA. SASA NADHANI AMEANZA KUSEMA UKWELI.
The Boss UNAKUMBUKA NILICHOSEMA KUWA HUYU NI MLALAMISHI NA ANA TATIZO KISAIKOLOJIA.
 
Kwa kweli Prof pale hakuchagua sawa sawa Cha kuongea
Anyway mwisho wa hadithi yake nimeona Magu alikuwa sawa
Maana huwezi mbadilishia mtu majukumu nje ya mkataba wake wa kazi kwa lazima na haraka haraka unasema fukuza huyu!!

ANA UJUAJI WA KIJINGA SANA HUYU ASSAD.
 
Kati ya retrenchment na kumpangia majukumu mengine, ni wapi anaonyesha kuwa na utu zaidi?
Hapa tunajadili kufuata taratibu za ajira na sio utu.

Tukimaliza hilo tutakuja kwenye huo utu unaouzungumzia ambao hata huo huyo mtu wako hana.

Unafukuzaje mtu anayedai haki yake anayostahiki
Aliajiriwa kama dereva na sio kama mtu wa records management.

Kupanga files ni kazi zilizopo nje kabisa ya job description yake.

Yeye kudai malipo kwa kazi ambazo sio zake alikua sahihi.

Hapo mfanyakazi anauwezo kabisa wa kusema alitengenezewa mazingira ya kuachishwa kazi na akaeleweka.
 
Hakuna shida muajiri kukubadilishia majukumu ya kazi yako, inategemea mkataba wako wa kazi ukoje na pia unachotakiwa ni kukataa au kukubali.
 
We hauna iyo elimu ya kufanya kazi na pro Assad, we ni kiazi mmoja tu, nyie ni misukule ya magufuli na mazombie yake,

We bibie kwako habari nzuri ni za watu kuuliwa na kutumbuliwa ndio huwa unazipendaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…