Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Udereva sio taaluma mahususi.Ndani ya Ile taaluma Yako sio nje ya taaluma Yako,ukifanya nje ya taaluma Yako unaweza kuwekewa mtego Kisha ukaingia matatizoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udereva sio taaluma mahususi.Ndani ya Ile taaluma Yako sio nje ya taaluma Yako,ukifanya nje ya taaluma Yako unaweza kuwekewa mtego Kisha ukaingia matatizoni
Umeshasema Wana elimu ya uhasibuKupanga mafile kuna shida gani?, Mimi nimefanya kazi na madriver wenye elimu ya uhasibu 2. Siku ambayo hatuendi field walikuwa wanamsaidia mhasibu kazi za kihasibu, baada ya kuona utayari wao tuliwapandishia mishara.
Nitabakije bhebhe nyandoneUkabila unakusumbua. Utabaki hivyo hivyo na Mungu akusame tu kwa kuwa hujui ulitendalo.
Taaluma ni Nini mkuu!?Udereva sio taaluma mahususi.
Mleta uzi anamatatizo ya kuwaelewa ma-genius, hivyo usimlaumu. Bado ana mengi ya kujifunza toka kwa Prof Assad.Mie nimemsikiliza juzi...jamaa ni genius...its a rare gem in Africa...! ndo maana sisytem ikamtema
Wajinga wengi hamuwezi kumuelewa huyo jamaa ni kichwa haswa na hapelekeshwi hovyo.Amekuwa na kazi ya kulalamika tu mda wote.
Standing orders ni kwa ajili ya watumishi wa umma ambao ni pensionable. Kwa vile Chuo Kikuu cha Kiislamu Morogoro ni private basi standing orders haziwahusu. Na kwa vile dereva wa ngazi yake sio pensionable hahusiki na standing orders.Samahani ndg!
Je unaweza kuonyesha kifungu chochote kwenye Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma zinazomtaka mtumishi ambaye hatathibitishwa kazini kuishi kama mkibarua?
Dereva kilaza asiyeweza kupanga files sijui hata walimuokata wapi,Kupanga mafile kuna shida gani?, Mimi nimefanya kazi na madriver wenye elimu ya uhasibu 2. Siku ambayo hatuendi field walikuwa wanamsaidia mhasibu kazi za kihasibu, baada ya kuona utayari wao tuliwapandishia mishara.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Hapo ndipo umethibitisha udereva ni taaluma mahususi??
Ukiwa unafahamu kuwa boti unalosafiria linakwenda kuzama, hutaacha kulalamika kila dakika ili pengine Kapteni atastuka na kuponya mtumbwi.Amekuwa na kazi ya kulalamika tu mda wote.
Sikulaumu wewe na wajinga wenzako. Mkajielimishe kwanza utaratibu wa kumtoa CAG kikatiba upoje maana hamna mnalojua.Kila akishika maiki ni kulalamikia issue ya kuachishwa Kazi......Sina hakika ila nahisi palikua na jambo
Unaelewa maana ya taaluma kwanza?? Ukienda kuajiriwa kama daktari mahali ukapewa gari la kuendesha mwenyewe kwenda kazini ukiulizwa una taaluma gani utasema una taaluma ya udaktari na udereva??Wewe upo hapa kubishana kumbe.
Kwa KAZI yake ya kuwa Auditor Mkuu, anaruhusiwa kuwa Mwenyekit WA BodiProf. Assad ni bogus sana anajiona anajua kila kitu na hana busara kabisa nimefanya naye kazi akiwa Mwenyekiti wa Board moja hivi. Alishindwa kuongoza Board hiyo na Taasisi husika ilipata hasara kwa muda wote akiwa Mwenyekiti wa Board hiyo alikuwa anaendekeza rushwa sana.
kabla hajawa CAGKwa KAZI yake ya kuwa Auditor Mkuu, anaruhusiwa kuwa Mwenyekit WA Bodi