Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nani alikuwa anampigia kuzungumza naye siri za kiofisi kwenye simu yake binafsi??M
Mimi jambo lililonigusa ni pale aliposema mke wake alikuwa anasikiliza maongezi yake ya kwenye simu kuhusu kazi yake ya CAG kwa kuwa alikuwa anaweka loud speaker wakiwa nyumbani na mke wake.Ni mwiko kwa mtumishi wa umma kutoa Siri za kiofisi hata kwa mtu wa karibu akiwemo mweza.
Mimi jambo
Kwa kazi ya CAG hakuna siri muhimu na ya haraka anayotakiwa kuishugulikia akiwa nyumbani kwake, pia kama ipo inatakiwa atumie channel rasmi za serikali kama email na katika chombo rasmi cha mawasiliano kilichotolewa na serikali.
Wa kwanza kukamatwa alitakiwa huyo aliyempigia kuzungumza siri za serikali katika unsecured network.