Nimesikiliza mahojiano ya Prof. Assad na Kikeke, huyu Prof. ana ujuaji mwingi. Unafukuzaje mfanyakazi akikataa kufanya majukumu ambayo sio yake?

Wewe na huyo Prpf hamna tofauti katika ujuaji.
Hivi hujui kila mkataba wa kazi una kipengele kinachosema 'mwajiriwa atafanya majukumu yake yote pamoja na mengine atakayopangiwa na mwajiri wake' .
 
Ulaya kama hauna tija unafutwa kazi haraka sana, huyo dereva alikuwa mfanyakazi hewa.
Ubinadamu wa prof Assad ndiyo ulionza. Hapa alimuonea huruma akaona asimuondoe kazini lakini yeye akaleta jeuri. Ulaya hakuna ujinga kama huu. Kazi uliyoajiriwa kuifanya kama haipo unaondolewa mara moja. Hapa Assad alifanya uungwana akaona asimpunguze kazini bali amsaidie leo analaumiwa.
 
Ulaya kama hauna tija unafutwa kazi haraka sana, huyo dereva alikuwa mfanyakazi hewa.
Exaxtly unakaaje ofisini unalipwa hufabyi kazi unaaambiwa upange mafaili unauliza unalipwaje na hapo unakaa tu ofisin huna wa kumwendesha means you are useless basi ukae upange mafaili hutaki pia ni kufukuzwa tu
 
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,

Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.

Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.

Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.

Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.

Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.

Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??

Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.

Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.

Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.

Such an arrogant and a very useless academician.

View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel

Hata wewe mkuu una mapungufu...huenda kuna mengi hakuyasema..
 
Ujue humu watu hawana akili hata private sector wakikuajiri na km kile kitengo possition ikabadiishwa au kikafa wanakuhamisha sehemu nyingine itakapoona inafaaa km hutaki unafukuzwa tu kazi simple like that mfano kuna taasis nilijoariwa km Electrical but sometimes nafanya mokaa za mechanical nkipangiwa na supervisor na wala sijkulalamika nafanya naenda zangu home maisha yanasonga tatizo waaafrika tunawaza salary kuliko kufanya kazi.
 
Exaxtly unakaaje ofisini unalipwa hufabyi kazi unaaambiwa upange mafaili unauliza unalipwaje na hapo unakaa tu ofisin huna wa kumwendesha means you are useless basi ukae upange mafaili hutaki pia ni kufukuzwa tu
Hakuajiriwa kupanga file.
 
Lakini ingemwongezea CV huyo dereva
Hakutaka CV ya kipumbavu isiyoendana na kazi yake. Ambacho kinamwongezea Dereva CV ni labda ufundi wa magari. Na angemlipa mshahara kwa nafasi yake mpya. Leo hii ASSAD aambiwe akawe receptionist pale wizara ya fedha atakubali?
 
Ujue humu watu hawana akili hata private sector wakikuajiri na km kile kitengo possition ikabadiishwa au kikafa wanakuhamisha sehemu nyingine itakapoona inafaaa km hutaki unafukuzwa tu kazi simple like that mfano kuna taasis nilijoariwa km Electrical but sometimes nafanya mokaa za mechanical nkipangiwa na supervisor na wala sijkulalamika nafanya naenda zangu home maisha yanasonga tatizo waaafrika tunawaza salary kuliko kufanya kazi.

Yeye Assad sasa hivi akaajiriwe kama Receptionist Wizara ya Fedha.
 
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,

Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.

Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.

Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.

Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.

Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.

Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla

Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??

Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.

Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.

Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.

Such an arrogant and a very useless academician.

View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel

Endapo kama kweli alimfukuza kazi Dereva huyo kwa kosa hili aliloeleza, Basi atakuwa amekosea sana. Hakumtendea Haki huyo Dereva.
 
Ujue humu watu hawana akili hata private sector wakikuajiri na km kile kitengo possition ikabadiishwa au kikafa wanakuhamisha sehemu nyingine itakapoona inafaaa km hutaki unafukuzwa tu kazi simple like that mfano kuna taasis nilijoariwa km Electrical but sometimes nafanya mokaa za mechanical nkipangiwa na supervisor na wala sijkulalamika nafanya naenda zangu home maisha yanasonga tatizo waaafrika tunawaza salary kuliko kufanya kazi.

Hujitambui, ungepata ajali kazini wakati unafanya kazi za mechanical ungewashitaki kwa fidia ama ungesema ni mipango tu ya Mungu?
 
Job description inasema hvyo ntapangiwa kazi zingine if elrctrical job hakuna na supervusor wangu
 
Back
Top Bottom