Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Nlikua nauona ugenius wake katika ukimya, nimejiongezea kitu kwa profesa kukaa kimya ni bora zaidi na zaidi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hujui kila mkataba wa kazi una kipengele kinachosema 'mwajiriwa atafanya majukumu yake yote pamoja na mengine atakayopangiwa na mwajiri wake' .Wewe na huyo Prpf hamna tofauti katika ujuaji.
Ubinadamu wa prof Assad ndiyo ulionza. Hapa alimuonea huruma akaona asimuondoe kazini lakini yeye akaleta jeuri. Ulaya hakuna ujinga kama huu. Kazi uliyoajiriwa kuifanya kama haipo unaondolewa mara moja. Hapa Assad alifanya uungwana akaona asimpunguze kazini bali amsaidie leo analaumiwa.Ulaya kama hauna tija unafutwa kazi haraka sana, huyo dereva alikuwa mfanyakazi hewa.
Exaxtly unakaaje ofisini unalipwa hufabyi kazi unaaambiwa upange mafaili unauliza unalipwaje na hapo unakaa tu ofisin huna wa kumwendesha means you are useless basi ukae upange mafaili hutaki pia ni kufukuzwa tuUlaya kama hauna tija unafutwa kazi haraka sana, huyo dereva alikuwa mfanyakazi hewa.
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Kukaa kimya kwa mambo ambayo anatakiwa aseme ukweli ili yasijirudie tena. Assad ni hazina ya nchi hataki mambo ya longolongo!Nlikua nauona ugenius wake katika ukimya, nimejiongezea kitu kwa profesa kukaa kimya ni bora zaidi na zaidi.....
Hakuajiriwa kupanga file.Exaxtly unakaaje ofisini unalipwa hufabyi kazi unaaambiwa upange mafaili unauliza unalipwaje na hapo unakaa tu ofisin huna wa kumwendesha means you are useless basi ukae upange mafaili hutaki pia ni kufukuzwa tu
Hakutaka CV ya kipumbavu isiyoendana na kazi yake. Ambacho kinamwongezea Dereva CV ni labda ufundi wa magari. Na angemlipa mshahara kwa nafasi yake mpya. Leo hii ASSAD aambiwe akawe receptionist pale wizara ya fedha atakubali?Lakini ingemwongezea CV huyo dereva
Ujue humu watu hawana akili hata private sector wakikuajiri na km kile kitengo possition ikabadiishwa au kikafa wanakuhamisha sehemu nyingine itakapoona inafaaa km hutaki unafukuzwa tu kazi simple like that mfano kuna taasis nilijoariwa km Electrical but sometimes nafanya mokaa za mechanical nkipangiwa na supervisor na wala sijkulalamika nafanya naenda zangu home maisha yanasonga tatizo waaafrika tunawaza salary kuliko kufanya kazi.
Soma tena hujaelewa siku ukiajiliwa privat sekta ndo utaelewaYeye Assad sasa hivi akaajiriwe kama Receptionist Wizara ya Fedha.
Soma tena hujaelewa siku ukiajiliwa privat sekta ndo utaelewa
Ww unakaaje ofisin hufanyi kazi manake sio productive ww km boss ungefurah tuwe na commitment ndo Easr africa tunaonekana vilazaSasa yeye alikuwa private sector?
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Ujue humu watu hawana akili hata private sector wakikuajiri na km kile kitengo possition ikabadiishwa au kikafa wanakuhamisha sehemu nyingine itakapoona inafaaa km hutaki unafukuzwa tu kazi simple like that mfano kuna taasis nilijoariwa km Electrical but sometimes nafanya mokaa za mechanical nkipangiwa na supervisor na wala sijkulalamika nafanya naenda zangu home maisha yanasonga tatizo waaafrika tunawaza salary kuliko kufanya kazi.
Sina mudaUmeshiba uji naona umeamka na nguvu mpya.
Ngoja nikuachie uzi upambana nae mpaka usiku tena.
Job description inasema hvyo ntapangiwa kazi zingine if elrctrical job hakuna na supervusor wanguHujitambui, ungepata ajali kazini wakati unafanya kazi za mechanical ungewashitaki kwa fidia ama ungesema ni mipango tu ya Mungu?
Yeye Assad sasa hivi apewe kazi awe Receptionist si hana kazi.Ww unakaaje ofisin hufanyi kazi manake sio productive ww km boss ungefurah tuwe na commitment ndo Easr africa tunaonekana vilaza