Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
CAG anaweza kuajiri au kumfukuza kazi dereva wa serikali??Sasa yeye alikuwa private sector?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CAG anaweza kuajiri au kumfukuza kazi dereva wa serikali??Sasa yeye alikuwa private sector?
Muulize assad atakujibuCAG anaweza kuajiri au kumfukuza kazi dereva wa serikali??
Job description inasema hvyo ntapangiwa kazi zingine if elrctrical job hakuna na supervusor wangu
Mnye-enzi MunguAnashika dini gani? 🐼
Nipe namba yakeMuulize assad atakujibu
Wakati akihojiwa na Salim Kikeke,
Aliyewahi kuwa CAG na kuondolewa kwa aibu kuu Prof. Assad anadai kuna mtumishi huko Morogoro aliajiriwa kama Dereva.
Lakini kwakuwa hakuwa na mtu wa kumuendesha basi wakaamua wawe wanampa kazi ya kupanga mafaili.
Jamaa baada ya kuona anafanya kazi ambazo sio zake akaamua kuandika barua akidai alipwe kwa kufanya kazi ambazo sio zake.
Huyu Prof msomi na mshika dini akamuamuru HR amfukuze kazi huyo dereva.
Hapa tunasikiliza mahojiano ya Prof. Akilalamika kufutwa kazi bila utaratibu lakini wakati huo huo anatueleza bila aibu kitendo chake cha kinyama cha kumfuta mtumishi kazi kwa kudai haki zake.
Soma Pia: Prof. Mussa Assad: Taarifa ya utenguzi wangu nilipewa siku moja kabla
Kwa elimu yake hiyo anaona ni sahihi kwa dereva kufanya kazi za kupanga file badala ya kuendesha gari kulingana na mkataba wa ajira yake??
Je yeye huyo Prof. Angeambiwa akadeki korido pale UDSm badala ya kufundisha wanafunzi kukariri madesa angefanya hivyo.
Ama kweli binadamu ni wasahaulifu sana na wanafiki mno.
Huyu keshasahau namna alivyomtenda mwenzake anaona ni haki yake kuonea wengine kwa kuwa kasoma sana ila wenzake hawana haki ya kumfuta yeye kazi.
Such an arrogant and a very useless academician.
View: https://youtu.be/eE2JoDEd43Q?si=vgPL1ihKxMpsLtel
Nimeelewa kwanini mnajazana kwa kina Kiboko ya wachawi? hapa unaonyesha jinsi ya elimu yako na uwezo wako wa kufikiri ulipogomea! Hongera kwa andikoHuwezi kuwa swala tano then ukawa mzima upstairs.
Ninachofurahia Magu alijua kuwaumbua walowaza wao ni wakubwa sana kwenye hii nchi😂😂Kila akishika maiki ni kulalamikia issue ya kuachishwa Kazi......Sina hakika ila nahisi palikua na jambo
Hakukuwa na kazi kwingine. Kumsaidia akampa kazi ya kupanga mafile. Ilikuwa apange mafile au arudi nyumbani. Mjinga kachagua kurudi home.Kazi ya udereva ishehimiwe kama kama kazi nyingine Doctor,CAG , nurse. Angemtafutia kazi ya udereva kwingine. Asingeweza kufanya hivyo ulaya anapokusifia sana.
Sijawahi mkubali Magu ila kwa huyu mzee nahisi Kuna jambo huyu mzee alikua na agenda binafsi zaidiNinachofurahia Magu alijua kuwaumbua walowaza wao ni wakubwa sana kwenye hii nchi😂😂
Kabisa. Aoneshe mfano kwa alichomfanyia mwenzieAu akadeki korido za pale UDSM.
JINGA SANA HUYU MZEE. ANA KAKIBURI FLANI HIVI KA KUDHANI YEYE NI BORA KULIKO WENGINEUnafikiri atafanya basi.
Yeye anaona wenzake tu ndio wanastahili ila yeye hapana.
Dunia huwa ina namna ya kuwanyenyekeza watu, ukifikiria kuwa wewe ndio kila kitu basi unakuja kutana na jambo litakalokufanya ubadili mtazamo.